Mpango wa kuwawekwa kizuizini Viongozi CHADEMA waiva?

ccm ni chama cha kidini na mwenyekiti wa ccm ni mdini ndio alianzisha sera ya udini nchini na inamtokea puani kudhihirisha haya ona alivyofanya kwa kipindi cha miaka mitatu tu angalia list yake ya uongozi



Raisi-Mwislamu
Makamu wa Raisi-Mwislamu
Jaji Mkuu-Mwislamu
Mkuu wa Usalama wa Taifa -Mwislamu
Waziri wa Ulinzi-Mwislamu
Mkuu wa Jeshi la Polisi-Mwislamu
Mkuu wa Polisi Kanda Maalumu-Mwislamu
Kati ya wakuu wa mikoa -28- 19 waislamu
Matajiri Kumi wa Nchi hii-10 waislamu-1 Mkristo
Asilimia 78 ya wajumbe wa kamati kuu ya wajumbe wa CCM- waislamu
Asilimia 81 ya wajumbe wa tume ya katiba waislamu
Asilimia 66 ya wakuu wa wilaya waislamu
KIkwete ameingiza mfumo Islamu nina wasiwasi anaposema au anapotuma watu wakekusema huwa ameshaamua jambo fulani ameshatutenga kidini sasa atatutengakikabila si mtu mwema hata kidogo kwa mustakabali wa taifa

Duh, Kwa hiyo na wewe unatupa mashambulizi kwa Rais Kikwete na chama chake kwa kutumia dhana ya DAWA YA MOTO NI MOTO.

Kama Rais Kikwete ni mdini kwa hiyo na wewe umeamua kuwa mdini ili kupambana naye.

To identify MDINI, you have to think/act like MDINI.
 
Na yeyote anayefanya upumbavu wa kuendelea kubambikia viongozi wangu tuhuma za kuchonga!! na "kuwatia kizuizini" Naapa tutazipiga!! enough is enough!!
Kuvaa gwanda hakukufanyi mwanajeshi. Nyie mnatafuta kutenguliwa viuno halafu muongezee gharama za matibabu serikali.
 
Serikali hii isipoangalia itaifanya nchi hii isitawalike. Watz wa sasa siyo wale wa mwaka 1947 wanaotishwa wakatishika, wanadanganywa wakadanganyika, na wanaolishwa propaganda wakaziamini. Not this time any more.
“Mnaishia kulalamika tu kila siku, eti wanatukana halafu mnaishia kusema ndiyo kawaida yao…au utasikia mtu anasema eti Serikali haipo! Kazi ya Serikali siyo hiyo, hiyo ni kazi ya kisiasa maana hao ndio wenzenu,”alisema Kikwete na kuongeza:

“Sasa mnataka wakisema Serikali ya CCM haijafanya kitu polisi wawafuate, au wakisema Kikwete nchi imemshinda, polisi wakawakamate? Kama wakisema hatujafanya kitu ni kazi yenu kusema kwamba tumefanya kitu, waonyesheni barabara, shule na mambo mengine.”

Licha ya kwamba hakuwataja moja kwa moja, kauli za Rais Kikwete zilikuwa zikielekezwa kwa uogozi wa Chadema ambao kimsingi kinaonekana kuwaumiza vichwa CCM.

Huku akirudia mara kadhaa maneno hayo alisema, “Nataka mfahamu ndugu zangu kuwa tukiishi kwa kutegemea Jeshi la Polisi kufanikisha mambo yetu, tutakwisha na tutakwisha kweli
Hayo maneno yaliyopigiwa mstari alitamka Kikwete mwenyewe huko Dodoma kwa timu nzima ya viongozi wa CCM. Whether alikuwa anamaanisha hivyo ama alikuwa anatumia lugha ya kejeli kama alivyozoea ili kupeleka ujumbe kwa polisi kuwa waimarishe mapambano na kuwadhibiti kikamilifu wapinzani; lakini ni vyema yeye mwenyewe na CCM watambue kuwa Watanzania wamechoka na hakuna jinsi wataweza kuendeleza utawala wao kwa njia dhalili na kukandamiza umma wa Watanzania. Ni vyema hao polisi wakatambua pia kwamba wanachotumwa kwenda kuwafanyia Watanzania wenzao sio sehemu ya kazi yao na mwisho wa siku watarudi huku uswahilini tunakoendelea kutaabika kwa maisha magumu na yasiyo na matarajio yoyote.
 
Kwa hali ilivyo sasa hivi mpango wao ni kutoachia madaraka na ikibidi watu kwa maelfu wata uawa ili mradi wao waendelee kukaa madarakani
Ni kweli kabisa unachoongea, zipo dalili za wazi kabisa kuwa CCM hata ikataliwe na wananchi wapatao asilimia 90 wataamua kubaki madarakani kwa kuvitumia vyombo vyao vya dola vya Jeshi la Polisi na TISS, lakini ili huko tusifike inabidi kila mwananchi popote alipo apaze sauti kwa njia yoyote ile awezayo, ninaamini kwa uweza wa Mungu utawala huu wa CCM nao utadondoka kama vile himaya mbalimbali zilizokuwa zinatisha jinsi zilivyodondoka, lakini hilo litatimia ikiwa kila mwananchi atashiriki jukumu la kuihoji serikali pale inapovurunda. Mungu wabariki watanzania.
 
Hilo liko wazi kabisa Ccm hawatakuwa tayari kuachia madaraka kizembe kizembe wako tayari kuhakikisha wanamwaga damu ya watanzania ili waendelee kuwepo madarakani.pia wapinzani wake waelewe kuwa hakuna ukombozi unaopatikana kirahisi.Ukombozi unagharama na gharama zenyewe ndiyo hizi ambazo mumeanza kuzipata na mambo yanavyozidi kuwa mabaya kwa Ccm nanyi mutegemee kupata gharama zaidi ya hizo.Mwenye kuvumilia mpaka mwisho ndiye atakaye shinda.
 
Ccm lazima ikubali mabadiliko hayapingiki,mbinu wanazotumia zakulitumia jeshila police na usalama wa Taifa zinazidi kuwakera wananchi na kuzidi kutuongezea wanachama kwa kasiya ajabu maana hali inayomkuta lwakatare inawakuta nawao hasa vijijini kilasiku
 
Kuvaa gwanda hakukufanyi mwanajeshi. Nyie mnatafuta kutenguliwa viuno halafu muongezee gharama za matibabu serikali.
Subirini muone na ukilaza wenu wa kutojali! Ni ukweli kuwa hakuna haki kamili iliyopatikana bila damu kumwagika! tunayo mifano mingi Kenya, Afrika kusini, hapa Uganda na kote. Nyie mnadanganyika na UKIMYA wa watanzania mnauita upumbavu sasa ninakuambia hakuna jeshi litakaloweza kupambana nasi tutakapoamua jaribuni muone!! myopic!!
 
CDM cha kufanya ni kujikita
zaidi uelimisha umma wa watazania hasa wa vijijini juu ya umuhimu wa
mabadiliko, kwa nini tunahitaji mabadiliko na kwa manufaa ya nani hasa?

Ukiwa na umma wa watanzania nyuma yako your safe, umma wa watanzania
ndiyo backbone yenu, CCM wafanya wafanyavyo kwa sasa lakini mbele ya
safari mambo ya kupika huwa yanadunda. utafunga wangapi/ utafungulia
kesi wangapi kama umma mzima upo tayari kwa mabadiliko?

Wao wana dola nyie mna watu, na huo ndiyo mtaji mkubwa sana mlionao kwa
sasa, move on CDM.

Pia tuwashitaki ccm kwa wanachi juu ya mpango wa CCM wa kukichafua chama chao (CDM). Wananchi wakielewa HAPA kazi inakuwa imekwisha.
 
kwa mpango huu wa kutumia vyombo vya dola kama walivyotumia makaburu afrika kusini sasa natoa rai kwa upinzani tutumie mbinu zile zile walizotumia anc kukabiliana na udhalimu huu.tuna base support ya kutosha,tupo na umma.tusikubali kurudi nyuma.

Na sisi tuwaonyeshe rangi halisi ya wanamageuzi baada ya wao kutuonyesha rangi halisi ya ukoloni na ukandamizaji

tukiwaonyesha woga wetu, itakua silaha imara zaidi kwao kutumaliza

i like that
 
Kuvaa gwanda hakukufanyi
mwanajeshi. Nyie mnatafuta kutenguliwa viuno halafu muongezee gharama za
matibabu serikali.

Majebere: Umetokea wapi tena? Nilikushauri upumzike kwanza, usichangie kitu humu jamvini kwa sasa, siyo kipindi kizuri kwako. Unachemka mno, si unaona ulichopost hapa, ni UCHEMFU mtupu. 'Mwezi Mchanga'
 
Viceversa is also true my dear, look at LWAKATARE. Kwa vile u mpofu kwa sababu ya siasa huwezi amini kuwa LWAKATARE ni GAIDI , unahitaji kufunguliwa akili.
mpofu ni yule asiyekuwa na upeo ama anayekula kwa mgongo wa walionacho na kukubali kila walisemalo sasa kwa hapa mi nadhani mpofu ni yule aliyejua mwangosi aliumizwa lakini hataki kuelewa,aliyeona polisi wakimuua,yule aliyejua rama ighondu alihusika kumteka dr ulimboka hataki na hata anayejua kibanda alitekwa na system ya wajinga hataki kuamini mi najua mpofu ni wewe
 
Kisicho riziki hakilikiii, kama ccm kuondoka wataondoka tuu.

Wako wapi sadam hussein, muammar gadafi watawala WABABE NA MAKATILI DUNIANI, WENYE TECNOLOJIA NA SILAHA KALI, NA MAJESHI IMARA NA MABODIGADI WATIIFU??
 
Subirini muone na ukilaza wenu wa kutojali! Ni ukweli kuwa hakuna haki kamili iliyopatikana bila damu kumwagika! tunayo mifano mingi Kenya, Afrika kusini, hapa Uganda na kote. Nyie mnadanganyika na UKIMYA wa watanzania mnauita upumbavu sasa ninakuambia hakuna jeshi litakaloweza kupambana nasi tutakapoamua jaribuni muone!! myopic!!
Wewe unajua vijana kama wewe wana fanywa nini magereza? Angalia bwana mdogo, ushabiki utakutokea pabaya.
 
Mbona maneno mnayoongea hapa hayana tofauti na yale anayoyasema SLAA kila siku? mna copy na Ku-paste au huwa mnapeana zamu, SLAA kwa waandishi wa habari na wewe kwenye mitandao ya kijamii? hizi si propaganda za kila siku tulizozizoea? Hivi umkamate MWIGULLU MCHEMBA kwa kosa lipi? si na MABERE MARANDO naye akamatwe kwa kusema kuwa CCM wameingiza vifaa toka ISRAEL vya kuingilia mawasiliano? au ZITTO KABWE si akamatwe kwa kusema anawajua watanzania walio na fedha kule uswizi? Kauli ya KIKWETE itakuwaje ya kichochezi? basi kauli kama HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE siyo uchochezi uliokubuhu? TUTACHKUA NCHI utakuwa uchochezi au UHAINI? acheni siasa nyepesi nyepesi kiasi hicho, waelezeni watanzania mtawafanyia nini ili kuwashawishi wawapigie kura 2015 badala ya upuuzi huu.

images

Jibu hoja zilizoletwa hapa usitafute pakujishikiza.
Mwigulu Mchemba alijaza watu kwenye gari na kuwatuma kwenda kuvuruga mkutano wa Chadema na katika purukushani hiyo kusababisha watu kuumia na mmoja kupoteza maisha. Kitengo hicho kingefanywa na kiongozi wa upinzani hasa Chadema nini kingetokea?

Polisi hao hao wametoa ushuhuda mahakamani kwamba Mwigulu Mchemba alihusika, lakini cha kushangaza hajachukuliwa hatua hata za awali kuitwa kituoni atoe maelezo ingawa alitakiwa kushikwa kishwa kuswekwa ndani na kuunganishwa katika mashtaka yale.

Hili lawezekana Tanzania, lakini si kitu cha kawaida kinachoendelea. Huu ndio utawala wa sheria Tanzania?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom