JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,112
- 3,536
Wazungu wametutawala kwa miaka mingi sana,walituletea mambo mengi mazuri lakini na mabaya pia.
Hivi kuna serikali yeyote ya Nchi za kiafrika yenye mpango wa muda mrefu wa kuja kuwatawala wazungu kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni? Kama hilo haliwezekani basi MUNGU wetu wa duniani ni wazungu.
Ambacho nimekuwa najiuliza kwanini wao waliweza sisi tushindwe kuwatawala wao?

Last edited by a moderator: