Seif anawachezea tu Wazanzibari kama kweli anaona serikali inawatendea vibaya wananchi wake alitakiwa ajiuzulu siyo abakie kwenye serikali hiyo hiyo. "Ooh hii nyumba inavuja sana, misingi yake mibovu na tena ina panya na chawa"... sasa hama basi!!!
Akikumbuka, salute, First class kwenye ndege, king'ora na walinzi wawili, katu seif hatajiuzulu GNU, kishawaacha wenzake solemba mzee huyu.