Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Baada ya mipango ya ugaidi iliyoratibiwa na Mwigullu Nchemba kufeli. CCM iliamua kuwafadhili viongozi wawili walioonekana kupendwa na wananchi aidha kwa usemaji wao bungeni au kwa kuwa walionekana wanauwezo wa kupewa mkakati wakashawishi ukafanikiwa.
Hamad Rashid kwa kuona hatari za CCM kule iendako,zanzibar iliona bora imfadhiri agombee nafasi ya katibu Mkuu huku akimpiga madongo kuwa seif ni dikteta na anatumia ruzuku vibaya!
CUF kwa umakini wao mkubwa,wakagundua mbinu hiyo ilikuwa na lengo la kukiua chama hiki.wakapewa abc za ccm wakamfukuza.
Kuona hivyo Hamad akiwa mtiifu wa waliomtuma,akaungana na CCM kutetea katiba mbovu na kandamizi, huku akijificha kwenye mhimili wa mzalendo,mpenda amani na umoja.
CCM haikuishia hapo,ikampa fedha za kuanzisha chama cha ADC na kilipendekezwa kianzishwe mikoa ya Pwani kikiwa na mwelekeo wa kidini( fuatilia alama zake) ,yeye akapwleka watu kukianzisha.
Harakaharaka msajili akakisajiri na yeye kuwa mshauri na mlezi tu.
Chama hiki kilikaa kimya na hakina wanachama bara bali ni wanaCCM damu waliopandwa kwa mbinu zilezile kuwa baada ya uchaguzi huyu bwana mkubwa atateuliwa kuwa balozi iwapo cuf itasambaratika,
Kadharika wakati CCM ikifanya hayo zanzibar,bara ilimtongoza Zitto zuberi kabwe,ikamshawishi kuanzisha mikakati kufanya vita na uongozi wa juu kuwa ni wakikabila,kikanda na kidini!
CCM kupitia vyanzo vyake,vya usalama,ikamshauri ajitenge na mikutano yao,asifike ofisini na afanye kazi ya kuhakikisha taasisi za chadema kama Bawacha,Bavicha na Baraza la wazee vinakufa! Kwa kujenga makundi!
Kiasi chake alifanikiwa. CHADEMA wakiwa na ofisi ya usalama wa chama,ikamfuatilia hadi ilipojiridhisha na kufukuza ndani ya chama!
Lakini kwa aina yake,ikafanya mambo mawili,ikachukua vijana wa CUF walioasi wakimfuata aliyewekwa madarakani kama boya tu Kadawi Limbu aanzishe ACT Tanzania.
Chama kikaanzishwa na kuachwa kipate usajiri wa muda.
Zitto akaandaliwa watu wa kumtetea,akaambiwa akafungue kesi ili kusaidia chama kukivuruga,wakiamini akishinda kesi itasaidia kiasi kikubwa kukiua chama.
Kesi ilicheleweshwa hadi mwaka huu mwezi wa nne.ambapo CCM iliona mbinu hizo hazikushinda,na uchaguzi wa serikali za mitaa chadema wakishinda kwa kishindo na muda unaenda bunge linakaribia kuvunjwa,ccmharaka ikaamua kesu itolewe hukumu kwani zitto asingesaidia tena.,wakaona bora kesi itolewe hukumu ili plan B ifanyike ikiwemo kumpa support ya fedha na magari ili akakieneze chama cha ACT labda kitasaidia kuiua chadema kwa kuwa plan A imefeli.
Zitto haraka akateta na CCMikamwahidi mafao na vitu hivyo,ndio maana kesho yake akaingia Act Tanzania na kupewa kadi no.1.
Kadi aliyopewa zitto ni sawa na Hamad Rashid no 1.
Sasa wanaimba wimbo mmoja wote ACT wazalendo hawapo kunyang'anya kura za upinzani bali kuvuta wapigakura ambao mwaka 2010 walijiandikisha ila hawakupiga kura"!!!
Kauli ya ACT wazalendo ni sawa na ADC! Alama za bendera ni sawa,Tafakari sana, CCM si watu wazuri.