Lazima tujue kuwa ni mashindano ya mtu asiye na silaha vs mwenye silaha kali na dola, kwaiyo lazima tumfanyie analysis kwanza kutafuta mapungufu yake. Na ipo wazi kabisa mapungufu yake ni akili, wanatumia nguvu kuliko akili.
Tukijipanga na kuweka matumizi makubwa ya akili tutatoboa.