Mpango Mkakati huu hapa

View attachment 1159357

Pichani ni Magwiji wawili Mbowe na Tundu Lissu

......... Kaa mkao wa kula ......

Kwahiyo Kunywa tu pamoja Mvinyo Kiupendo hivyo ndiyo Mpango Mkakati? Hivi ni lini Serikali ya Tanzania italivalia sana Njuga Sakata zima la matumizi ya Bangi kwa Wananchi wake ambalo kila Kukicha linaonekena kuathiri mno Akili zao na sasa kuna wengine wanaelekea kuwa Wendawazimu?
 
Tumeambiwa tuvute kwa kifichoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
pole mkuu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ndio umeona hilo


Swissme
 
Hiyo picha ndio mpango mlakati wenyewe ama vipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…