Awamu ya kwanza ya Mabomu ya JWTZ yalianzia Mbagala, yakaua Watanzania takriban 33!
Awamu ya pili yakafuatia GongolaMboto, yakaua waTanzania wasiopungua 25.
Awamu ya kwanza Meli ya MV SPICE, iliua Watanzania si chini ya 1700.
Awamu ya pili meli ya kampuni ya Seagul, imeua Watanzania kwa kubwa tu(bado haijajulikana).
Hii inaonekana ni series au mfuatano fulani wenye mpangilio makini sana, na usiojibadili!....yaani strikes mbili kwa kila sekta!
Jiulize, strikes mbili zinazofuata zitahusu sekta gani?...Jiulize...Tafakari...Chukua hatua!