Habari za asbh wana JF,
Napenda kuwaambia kuwa kuishi na mpangaji mwenzio alafu anakuonea wivu wa kimaendeleo ni shidaaa. Wiki 2 mbili sasa kichwa hakiachi kuuma, nimekwenda Hospital mara kadhaa bt sikupata nafuu ndipo nilipoona nijaribu kwa Sanonga(mganga wa kienyeji) ndipo aliponieleza kuwa mpangaji mwenzako anakuroga coz mimi nafanikiwa na mambo yangu.
Sasa je nimfanye nini huyu mpangaji mwenzangu? Au na mimi nimmalize kabisa?
Du dawa ya moto ni maji, amefika mpaka kwa sangoma si apige juju tu kielewekeNawe mroge...
Usiamini vp wakati hayo mambo yanafanyika na yanaonekana..... hata vitabu vya dini vinazungumzia hayo mamboHivi kwanini waafrika tunaamini sana mambo ya uchawi.
Wewe umewahi kuuona uchawi wapi? Tuambie uliona nimi cha ajabu mpaka useme ni uchawi.Usiamini vp wakati hayo mambo yanafanyika na yanaonekana..... hata vitabu vya dini vinazungumzia hayo mambo
Avatar yako inaonekana na wewe ni walewale!Habari za asbh wana JF,