Mpanda yetu iko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpanda yetu iko wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WaMoroco, Sep 4, 2012.

 1. W

  WaMoroco Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba tuwekane sawa kwa hili

  Kwa wale waliozaliwa MPANDA ya miaka ya sabini kurudi nyuma watakubaliana na mimi kuwa walikuwa wamezaliwa mkoa wa TABORA (waangalie vyeti vyao vya kuzaliwa) na kwa wale waliozaliwa miaka ya mwisho ya sabini kwenda mbele mpaka mwanzoni mwa 2011 wote waliozaliwa MPANDA wamezaliwa katika mkoa wa RUKWA na kwa wale waliozaliwa / watakaozaliwa mwishoni mwa 2011 (sijui mpaka lini) watakuwa wamezaliwa mkoani wa KATAVI

  Naomba tuwekane sawa hapa wale waliozaliwa wakati MPANDA inaitwa TABORA halafu RUKWA leo hii wajitambulishe wamezaliwa MKOA gani?

  Ni mimi niejua jina la mkoa niliozaliwa, asanteni.
   
Loading...