Mpambe mpya wa rais

Mpambe mpya wa rais

Cc:#faizafox

jamani niwape kituko! nikiwa sekondari miaka. ya 80 mwishoni nilikua nacheza karate, sasa ukaja ubishi kwamba wanaokimbiza mwenge hua na makomando wamo. ili ku proove ukija mwenge ukiupokea tokanao nduki, lakini Ki ujanja sana wasigundue,ukakamavu unahitajika kukaanao muda mrefu wasıkunyang,anye. basi. tulijipanga kutest zali. kweli tukapokea halafu washikaji wakajifanya kukomaa nikae nao muda mrefu! jamani dhoruba niliyopigwa huku watu wanaimba sintosahau! na hakuna mwananchi alie elewa nini kinaendelea. sasa huyo wa kumtest raıs akae tayari!
 
Kwakweli nimecheka sana. Hebu elezea kidogo nini kilikupata Mtaalam na Shotokani zako.
 
...licha ya wale wenyesuti kunawengine weengi wanazagaa na kujichanganya kila kona yenye msongamano,kama yupo kwenye msafara wanabana kwenye junctions...
 
jamani niwape kituko! nikiwa sekondari miaka. ya 80 mwishoni nilikua nacheza karate, sasa ukaja ubishi kwamba wanaokimbiza mwenge hua na makomando wamo. ili ku proove ukija mwenge ukiupokea tokanao nduki, lakini Ki ujanja sana wasigundue,ukakamavu unahitajika kukaanao muda mrefu wasıkunyang,anye. basi. tulijipanga kutest zali. kweli tukapokea halafu washikaji wakajifanya kukomaa nikae nao muda mrefu! jamani dhoruba niliyopigwa huku watu wanaimba sintosahau! na hakuna mwananchi alie elewa nini kinaendelea. sasa huyo wa kumtest raıs akae tayari!
Yaani mkuu nimecheka hadi chozi!walikupiga au ilikuwaje?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wana JF hivi kuna mtu ana CV ya mpambe mpya wa rais? Kama ipo tuwekeeni hewani kuanzia jina na sifa nyingine maana hapa mtaani wanadai jamaa ni Komando.
Nasikia jamaa jembe ile mbaya. Mjeshi mmoja kaniambia kuwa jamaa alituwakilisha vema kule DRC dhidi ya M23 pia Lebanoni. Ila sio komando ingawa alikuwa anavaa kiraia akiwa MAKAO MAKUU hivyo huenda nae ni shushushu. Huenda JK ameamua kujiimarisha kousalama kwa kuongeza mashushu.
 
Wana JF hivi kuna mtu ana CV ya mpambe mpya wa rais? Kama ipo tuwekeeni hewani kuanzia jina na sifa nyingine maana hapa mtaani wanadai jamaa ni Komando.

Mshikaji tulikuwa tunacheza nae kikapu hapa Tanga Mkwakwani akitokea kange jeshini. Tulienda nae Taifa cup dodoma mwaka 2007. Jina lake ni kama Baraka. Pia nasikia alikuwa DRC. Hapa Tanga tulikuwa tunajua ni usalama maana alikuwa havai sare. Nasikia ni kichwa sana na alikuwa mwalimu wa masuala ya kieshi kule Kange
 
Back
Top Bottom