SAIZI YANGU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 381
- 83
Wana JF hivi kuna mtu ana CV ya mpambe mpya wa rais? Kama ipo tuwekeeni hewani kuanzia jina na sifa nyingine maana hapa mtaani wanadai jamaa ni Komando.

Mkuu umefanya nimecheka sana.Kwani kuna matofali amevunja huko?
Wana JF hivi kuna mtu ana CV ya mpambe mpya wa rais? Kama ipo tuwekeeni hewani kuanzia jina na sifa nyingine maana hapa mtaani wanadai jamaa ni Komando.
Anamfikia Komando kipensi?
Sijui kama ni siasa au uhuru wa vyombo vya habari ila ninachokiona siku hizi ni kama vile raia wanakosa imani au wanachukulia poa sana masuala ya usalama haswa wa viongozi!!!!!Hakuna haja ya CV yake kwani Mpambe wa Rais yeye si Mlinzi wa moja kwa moja , wapo walinzi wengine wa TISS ambao wana Mafunzo maalum yakiwemo ya Ukomandoo na hao ndio hubeba siraha ndani ya Suti ,tambua walinzi wa Rais ni kikosi maalum ambacho kimeandaliwa kiulinzi haswaa . Kazi ya Mpambe wa Rais ni usaidizi wa kikakamavu Pia ikumbukwe Rais ni Amiri Jeshi Mkuu hivyo lazima awe na mpambe mwanajeshi kwa ajili ya kumsaidia .
Hakuna haja ya CV yake kwani Mpambe wa Rais yeye si Mlinzi wa moja kwa moja , wapo walinzi wengine wa TISS ambao wana Mafunzo maalum yakiwemo ya Ukomandoo na hao ndio hubeba siraha ndani ya Suti ,tambua walinzi wa Rais ni kikosi maalum ambacho kimeandaliwa kiulinzi haswaa . Kazi ya Mpambe wa Rais ni usaidizi wa kikakamavu Pia ikumbukwe Rais ni Amiri Jeshi Mkuu hivyo lazima awe na mpambe mwanajeshi kwa ajili ya kumsaidia .
Rekebisha lugha yako:Hakuna haja ya CV yake kwani Mpambe wa Rais yeye si Mlinzi wa moja kwa moja , wapo walinzi wengine wa TISS ambao wana Mafunzo maalum yakiwemo ya Ukomandoo na hao ndio hubeba siraha ndani ya Suti ,tambua walinzi wa Rais ni kikosi maalum ambacho kimeandaliwa kiulinzi haswaa . Kazi ya Mpambe wa Rais ni usaidizi wa kikakamavu Pia ikumbukwe Rais ni Amiri Jeshi Mkuu hivyo lazima awe na mpambe mwanajeshi kwa ajili ya kumsaidia .
Anamfikia Komando kipensi?
Yaani comments zingine response yangu kubwa ni kucheka tuuuuuuu....... Baada ya hapo ni kutoa LIKEAnamfikia Komando kipensi?
Rekebisha lugha yako:
siraha =silaha
SHIEKA, kny #TeamRekebishaLugha
cc charminglady, Kibo10 nevergiveup.