kipi bora kiongozi kuadapt wananchi au wananchi kumuadapt kiongozi..?Na hiyo ndio maana halisi.
Ingependeza zaidi ungeongezea kwamba..... Mchagua jembe si mkulima.vipi tukisema mwananchi mzuri ni yule anaeadapt kiongozi yoyote
Ingependeza zaidi ungeongezea kwamba..... Mchagua jembe si mkulima.
Jembe lolote mahali popote twende kazi
Mm naona mwananchi ni bora amuadapt kiongozi kwasababu mara nyingi viongozi wengi huwa tunachaguliwa. sii unaona kama marekani cilnton alishinda uchaguzi wa wananchi ila wale wajumbe 530 wakasema hapana ushindi wakampa trump.kipi bora kiongozi kuadapt wananchi au wananchi kumuadapt kiongozi..?
Hii Hapana, huwezi mfata kila kiongozi.vipi tukisema mwananchi mzuri ni yule anaeadapt kiongozi yoyote
ha ha! hii napinga kama mnamfata mtu 1 ni rahisi nyote kutumbukia!Mm naona mwananchi ni bora amuadapt kiongozi kwasababu mara nyingi viongozi wengi huwa tunachaguliwa. sii unaona kama marekani cilnton alishinda uchaguzi wa wananchi ila wale wajumbe 530 wakasema hapana ushindi wakampa trump.