Mpaka watekwe matajiri ndio Serikali iamke kutoka usingizini

Mpaka watekwe matajiri ndio Serikali iamke kutoka usingizini

Mleta mada unajifanya kuwa hujui ya kwamba sirikali ni sehemu ya jenge hilo la utekaji na unataka iwe inajichunguza yenyewe!!.... Shame on you mleta mada!!
 
umesema vyema madame ".. hakuna muwekezaji atakaye taka kuja kuwekeza kwenye nchi ambayo sio salama ... daaahh ila hii ni aibu kubwa sana Aisee kwa taifa
Magufuli yuko kimya, yeye kama raid ni father of comfort, atupe Faraja na TUMAINI watanzania
 
Hapa tayari ulishaingiza siasa na kulifanya tukio hili kuwa mtaji wa kisiasa?? hivi mtakua lini na kupevuka akili watanzania??
Unalitenganishaje na siasa tukio hili?mtoa mada kaeleza vema wametekwa hao aliotaja, serikali ikafanya ilichofanya,sasa katekwa MO hutaki lizungumzwe ki siasa,unatakaje weye?
 
Back
Top Bottom