Mpaka watekwe matajiri ndio Serikali iamke kutoka usingizini

Mpaka watekwe matajiri ndio Serikali iamke kutoka usingizini

naogopa isije ikawa ni kufifisha mjadala wa udart . mnyapala.amechoka huyu
 
umesema vyema madame ".. hakuna muwekezaji atakaye taka kuja kuwekeza kwenye nchi ambayo sio salama ... daaahh ila hii ni aibu kubwa sana Aisee kwa taifa
Hamna aibu inayompata mtu au taifa kwa bahati mbaya. Aibu zote hutengenezwa na mwanadam mwenyewe.
Kangi Lugora kisha sema nchi hii hamna watekaji wala watu wasiojulikana.
Muda huongea ukweli daima
 
Hamna aibu inayompata mtu au taifa kwa bahati mbaya. Aibu zote hutengenezwa na mwanadam mwenyewe.
Kangi Lugora kisha sema nchi hii hamna watekaji wala watu wasiojulikana.
Muda huongea ukweli daima
Aisee umesema kweli Chief " tuache muda utoe hukumu yake mkuu
 
Mbona umejiuliza swali na ukajijibu mwenyewe?

Serikali imeamka kwa sababu huyo jamaa ni mwekezaji mkubwa ws ndani.

Halafu mbona hata kipindi kile yule Nondo alipotekwa serikali iliamka?

ASANTE
Leo mmesema serikali imeamka na wakati huohuo unasema wakati wa Abdul Nondo iliamka. Kwa hiyo baada ya tukio la Abdul Nondo ililala tena? Maana huwezi kuamka kama hujalala!!
 
Leo mmesema serikali imeamka na wakati huohuo unasema wakati wa Abdul Nondo iliamka. Kwa hiyo baada ya tukio la Abdul Nondo ililala tena? Maana huwezi kuamka kama hujalala!!
Yani hodari sana kwa kujitetea nyinyi watu. Ila yanamwisho
 
Mimi Nina imani MO atapatikana mzima na ataeleza yote yaliyomtokea tuendelee kumuombea
 
Kama sio la kisiasa mbona mkuu wa mkoa ndio kawa msemaji badala ya jeshi husika? We unasema mtaji wa kisiasa, bwana yule ni mtaji wa pesa pia!
Hapa tayari ulishaingiza siasa na kulifanya tukio hili kuwa mtaji wa kisiasa?? hivi mtakua lini na kupevuka akili watanzania??
 
Na suala hili litakuwa ni aibu ya aina yake kwa hili jeshi na nchi isiyotilia uzito usalama wa watu na mali zao. Yaani kama ninawaona vile hata intelejensia ya kuanzia wapi hawana!
 
Back
Top Bottom