Mpaka wanaume tuna-import!

Mpaka wanaume tuna-import!

idoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
3,051
Reaction score
1,423
kp21052015.jpg
 
Nashangaa wana import nje ya nchi wakati "bidhaa" inapatikana kwa wingi nchini Tanzania. Ni matumizi mabaya ya fedha za kigeni. Ha ha ha !
 
Acha tu tuimport maana hatuna viwanda.
 
Bidhaa za ndani hazina ubora, wafanyeje? Demand ni kubwa kuliko supply lazma waangalie kwa jirani. Waacheni tuu wanaume wameishiwa nguvu za kiume kwa pombe na mihadarati.
 
Udhalilishaji mkubwa, nilikaa pale mpakani mbona sikuwahi kuisikia hii?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom