Kuna nchi za EU Schengen haitumiki, kama UK, Bulgaria, Romania, Cyprus na Croatia.
nitaenda kutalii,nasimama belgium natoa haja ndogo nairushia uholanzi...naingia ktk guiness books of records
Mkuu na wewe umekosea ni bahari ya Atlantiki.Mkuu ebu angalia jiografia yako vizuri kwasababu mpaka kati ya Mexico na Spain haupo. Mexico ipo kwenye bara la Amerika wakati hii Spain iko kwenye bara la Ulaya, na kuna bahari ya Pacific hapa kati ambayo ni maelfu ya kilomita kati ya nchi hizi mbili.
Vipi pale ziwa Chala mkuu!
Mkuu na wewe umekosea ni bahari ya Atlantiki.
Mambo ya visa inakuwaje?
Pamoja na kwamba tunaongelea mipaka ya kimataifa ngoja tukusaidie. Wilaya yenye eneo dogo sana lakini very busy ni Ilala. Ndiko kwenye pilika almost nyin gi za jiji. Kinondoni na Ilala zinapakanishwa na bonde la Msimbazi. Hii ina maana kwamba, Mapipa iko Kinondoni na Fire iko Ilala. Hali kadhalika, Kigogo iko Kinondoni na Msimbazi Centre iko Ilala. Tabata Matumbi iko Kinondoni na Buguruni iko Ilala. Kuhusu Temeke na Ilala, barabara za Sokoine na Nyerere ndio zinagawa wilaya hizi. Hii ina maana, ukitoka katikati ya mji kwenda airport, kushoto kwako ni Temeke na kulia ni Ilala. Central Police, Bandari, Quality Centre nk wamo Temeke, ilhali Nakumatt, bandari kavu ya TRL, DHL, Azania nk wako Ilala. Hope tuko pamojaOk.
Vp hapo Dar,wapi ulipo mpaka wa wilaya ya Temeke na Ilala ukitokea nyerere rd?na wapi ulipo mpaka wa wilaya ya Ilala na Kinondoni ukitokea Mandera rd?
Kiukweli huwa nachanganyikiwa sana juu ya mipaka ya wilaya za dar.
Maana unaweza jenga nyumba ya kiswazi ukajikuta choo kipo kinondoni na bed room ipo Ilala.
Pamoja na kwamba tunaongelea mipaka ya kimataifa ngoja tukusaidie. Wilaya yenye eneo dogo sana lakini very busy ni Ilala. Ndiko kwenye pilika almost nyin gi za jiji. Kinondoni na Ilala zinapakanishwa na bonde la Msimbazi. Hii ina maana kwamba, Mapipa iko Kinondoni na Fire iko Ilala. Hali kadhalika, Kigogo iko Kinondoni na Msimbazi Centre iko Ilala. Tabata Matumbi iko Kinondoni na Buguruni iko Ilala. Kuhusu Temeke na Ilala, barabara za Sokoine na Nyerere ndio zinagawa wilaya hizi. Hii ina maana, ukitoka katikati ya mji kwenda airport, kushoto kwako ni Temeke na kulia ni Ilala. Central Police, Bandari, Quality Centre nk wamo Temeke, ilhali Nakumatt, bandari kavu ya TRL, DHL, Azania nk wako Ilala. Hope tuko pamoja