Mpaka sasa SIMBA na YANGA

Mpaka sasa SIMBA na YANGA

Status
Not open for further replies.

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Na tusubir kuckia Yebo yebo wakitangaza ajira mpya ya kocha
attachment.php

 

Attachments

  • 1413534441325.jpg
    1413534441325.jpg
    33.8 KB · Views: 2,963
Nikumbuka naishiwa nguvu Mnyama atakavyo watafuna vijana wa Jangwani nitakaa mbali midamu yao isinifkie
 
Kweli huyu ni mtabiri, manake wenzake wanakumbuka yaliyopita, yeye anakumbuka ya kesho tarehe 18/10/2014 na anaanza kukaa mbali.
 
POLISI iwaangalie kwa ukaribu mashabiki wa simba kazi yao kutuharibia uwanja wetu....hasa kwa kung'oa viti..
 
SIMBA wote wapo mbugan ukimuona mjini huyo hana sumu wala meno ni wamaonyesho tu...au kitakuwa KINYAGO CHA SIMBA...simba wakumrarua yanga yupo mbugan tu
 
na mikia fc ikiitisha uchaguzi wa dharula kwaajili ya kumpata mwenyekiti mpya......sasa sijui atatoka simba ukawa au?
 
walifanyie maana simba wapo ktk ujenz wa uwanja bunju sasa nafikiri vit waliambiwa wavitoe uwanja wa taifa
 
Kwa kawaida nyama ya simba hailiwi na binadamu ila ikilazimika inaswihi kuliwa...
 
we Galadudu acha kujitafutia ban...toa ahadi ya ban kama yebo hawatatafuta kicha...
 
Last edited by a moderator:
kweli hii ni mambumbumbu fc,sijui hizi faraja mnazitoa wapi!....Hivi mnajua kuwa tangu ligi ianze mikia haijapata ushindi wowote hata mechi za kirafiki??
 
Kesho lazima tuwatulize hawa Yebo Yebo.
 
nyie yanga mjifarj tu ila muzik wa simba mnaujua. mi n yanga lakin mbele ya simba sinen ki2
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom