Ngoja aje malaika Israeli aondoke na wewe.Shetani ana ugomvi na Muumba
Imekuaje tunaushishwa na ugomvi ambao hautuhusu!!!!!!!
Adhabu nyingi kama sio zote, tumwbebeshw sisiShetani ana ugomvi na Muumba
Imekuaje tunaushishwa na ugomvi ambao hautuhusu!!!!!!!
Sasa kama Shetan Mungu alimshindwa huko Mbinguni akaamua kumfurusha huku Dunian ndo utamuweza wewe? Acha kushindana na vitu vya ajabu banahNitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine
Kwangu naona kama huyu shetani ndio mkombozi,
Kwa fact hizi
Pale bustani ya edeni Mungu alimficha adamu na hawa jambo
Huyu bwana shetani alifanya kila njia akatutobolea siri
Unaweza muomba mungu kitu akachelewa sana kukupa ila ukienda kwa huyu bwana fast tu unapokea
Ndio hivyooo
Yep, mshikaji hacheleweshi kutoa mzigo, ukimlalamikia tu kupitia Qur'an kwa njia ya albadir lazima atakujibu tuNitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine
Kwangu naona kama huyu shetani ndio mkombozi,
Kwa fact hizi
Pale bustani ya edeni Mungu alimficha adamu na hawa jambo
Huyu bwana shetani alifanya kila njia akatutobolea siri
Unaweza muomba mungu kitu akachelewa sana kukupa ila ukienda kwa huyu bwana fast tu unapokea
Ndio hivyooo
Ni fasta kwa huyo mjamaa lakini hana huruma wala fadhila ni lzm akuue fasta pia, msaada wake hauendi bure.Nitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine
Kwangu naona kama huyu shetani ndio mkombozi,
Kwa fact hizi
Pale bustani ya edeni Mungu alimficha adamu na hawa jambo
Huyu bwana shetani alifanya kila njia akatutobolea siri
Unaweza muomba mungu kitu akachelewa sana kukupa ila ukienda kwa huyu bwana fast tu unapokea
Ndio hivyooo
Kama aliweza mfurusha mbinguni atashindwa vipi kumfurusha dunianiSasa kama Shetan Mungu alimshindwa huko Mbinguni akaamua kumfurusha huku Dunian ndo utamuweza wewe? Acha kushindana na vitu vya ajabu banah
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupitia Quran kwa njia ya albadir anajibu fasta duh kazi kweli kweli ngoja waje wenyewe wakunyeeeeeYep, mshikaji hacheleweshi kutoa mzigo, ukimlalamikia tu kupitia Qur'an kwa njia ya albadir lazima atakujibu tu
Soon moto utawaka!Yep, mshikaji hacheleweshi kutoa mzigo, ukimlalamikia tu kupitia Qur'an kwa njia ya albadir lazima atakujibu tu
Mungu anakuona,siku zako za kuishi duniani ni chache sana,lkn siku za kwenda kuishi na muumba wako ni nyingi zisizo na hesabu,sasa ni juu yako kumpigia debe shetani alafu ulaaniwe milele au utubu na kufanyika mwana wa Mungu uishi kwa raha milele yote.Uamuzi ni wako.Shibe isitupe kiburi hata kuwa chukizo kwa Mungu,hivi ungekuwa umepalalaizi kitandani ungepata wapi nguvu za kuandika huu utumbo mavi wako??.Nitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine
Kwangu naona kama huyu shetani ndio mkombozi,
Kwa fact hizi
Pale bustani ya edeni Mungu alimficha adamu na hawa jambo
Huyu bwana shetani alifanya kila njia akatutobolea siri
Unaweza muomba mungu kitu akachelewa sana kukupa ila ukienda kwa huyu bwana fast tu unapokea
Ndio hivyooo
Sasa ndio shetani atakuwa Kabaka au mtu ?Write your reply...ngoja siku wakabake katoto kak o ka 2yrs ndio utajua uzuri wake.
je Mungu ana huruma ? Vuta picha vita ya Ukraine bom linawalipukia watoto wasio na hatia lakini Mungu uwezo wa kusolve anao mbona anafanya kana kwamba haoni ila ukiiba au ukizin dhambi huionaNi fasta kwa huyo mjamaa lakini hana huruma wala fadhila ni lzm akuue fasta pia, msaada wake hauendi bure.
Mungu uchelewa lakini ni hakika na hakuna majuto wala hasara