Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Polepole na kwa jinsi mambo ya kiCCM yanavyoendeshwa ni dhahiri siku wakimkamata ana kesi nzito ya Uchochezi na akikaa vibaya wanambandika Uhaini akapumzike Segerea hadi 2030.
Polepole ana option moja tu kupambana hadi muujiza anaouamini utokee otherwise asubiri kusujudia watu kwa ajili ya mustakabali wake.
Polepole ana option moja tu kupambana hadi muujiza anaouamini utokee otherwise asubiri kusujudia watu kwa ajili ya mustakabali wake.