Mpaka sasa hakuna mwingine ndani ya CCM zaidi ya Edward Lowassa!.

maskini mmeishia kujifariji JF tu
pole

Ndio maana wanaotaka lowasa awe rais marazote huwa hawana sababu zozote za msingi na hapo ndipo nguvu ya pesa inapojidhihirisha.
Mtaji wa lowasa ni masini wa aina tatu
1. Masikini wa kipato
2. Masikini wa akili (elimu ndogo)
3. Masikini wa taarifa zinazomhusu lowasa

WEWE UKO KUNDI GANI?
 
Tutafahamian tarehe 12

Uje na pamsasi utajikojolea kusikia jina la lowassa liko top 6
 
Mkuu;
Umenichekesha sana!

Kwamba atakatwa halafu apewe kazi ya kumnadi aliyepitishwa!.

Nguvu zote hizi alizotumia/anatumia ataziacha zipotee bila kuleta mafanikio yake binafsi?.

Napatwa na shida/wasiwasi katika kukubaliana na angalizo lako!

Vipi, bado jibu langu linakuchekesha leo?
 
Back
Top Bottom