Mpaka sasa hakuna mwingine ndani ya CCM zaidi ya Edward Lowassa!.

Hiyo kitu nami nimeiona aisee.

Hata akiwa anahutubia, kwa mfano, nyuma kidogo kwa pembeni yake yupo mlinzi.

Utadhani tayari ni rais mteule vile.

Ila mbona jamaa anaonekana kama zombie flani hivi....au zile tetesi za yeye kuwa mgonjwa ni za kweli?

Kuumwa ni kweli anaumwa, Wala sio tetesi, sio siri na sio ajabu.
 
Watu wanakula tu pesa za huyo mzee.. Kama unajidanganya kamteka mtu utakuwa unajidanganya mwenyewe.. Nina rafiki zangu ni CDM damu na kura watapigia Ukawa ila ndio viongozi wakuu wa ile inaitwa 4U Movement..

Una uhakika gani kuwa watapiga kura CDM?
Huoni tayari wana chembe za unafiki? Ni wa kuwaamini hao?
 
Hiyo kitu nami nimeiona aisee.

Hata akiwa anahutubia, kwa mfano, nyuma kidogo kwa pembeni yake yupo mlinzi.

Utadhani tayari ni rais mteule vile.

Ila mbona jamaa anaonekana kama zombie flani hivi....au zile tetesi za yeye kuwa mgonjwa ni za kweli?
Lowassa ni mgonjwa pamoja na kwamba kuna baadhi ya watu wanakanusha!.

Ana dalili zote za progressive neurological condition.

Wahenga walisema, mficha maradhi...
 
wewe unayetabiria mwenzio msiba ndie mauti inakuita ita.

ni kweli mimi namlamba miguu wewe unamlamba nani matako?

unaanza matusi, nyamaza kama huna hoja?......kwa kuwa umeniuliza....ninalamba mat.a.ko ya mama yako?
 
unaanza matusi, nyamaza kama huna hoja?......kwa kuwa umeniuliza....ninalamba mat.a.ko ya mama yako?

matusi umeanza wewe wala sikuwa na mpango wa kutusi. nashukuru kwa kulamba matako maana na huu uhaba wa maji ni msaada mkubwa sana unatoa. keep it up mchambishaji.
 
matusi umeanza wewe wala sikuwa na mpango wa kutusi. nashukuru kwa kulamba matako maana na huu uhaba wa maji ni msaada mkubwa sana unatoa. keep it up mchambishaji.

mchambishaji...!!!!??? mwulize nikimfuta nini kinaendelea.......BWana wako Lowassa is SICK wewe mjinga na kipofu ndiye hulioni hilo.
 
Anaumwa nini?

Duh,
Anachoumwa ndio kinachofichwa, ila kwamba anaumwa au haumwi hiyo iko wazi kwamba anaumwa.

Halafu Kuna kitu nakishangaa kwa huyu Mzee, hua anaongea kama anasoma au amekariri. Yaani hakuna zile "gestures", amesimama tu kama sanamu, yaani Mpaka anaboa kumsikiliza na kumuangalia. Pengine hata atakua anaongea kwa tabu sana ila anajikaza tu ndio maana muda wote akiongea anakua kama amekakamaa hivi.
 
Ni kweli,isipokua ccm kama watawekewa pazia wanaweza wakafanya wonders ya kuwanufaisha wapinzani,hilo halina ubishi,na hawa wote wanaomsema sana lowasa ndani ya chama hawana nia njema na chama,wao wapo radh ccm ipoteze dola,wanajifanya wana uchungu na nchi si kweli hata kidogo,wazee wa chama na cc wanatakiwa kutumia hekima sana kutafakari ju ya maamuz yao,.cdm wote wanaowmba mungu el akatwe ndo itakua nema kwao na hilo halina ubish.
 
mchambishaji...!!!!??? mwulize nikimfuta nini kinaendelea.......BWana wako Lowassa is SICK wewe mjinga na kipofu ndiye hulioni hilo.

unaendeleza matusi wewe choko? ila sikushangai kawaida ya wanaume wachambishaji ni mabwabwa na ndio mnapenda hizo habari za mabwana.
 
Back
Top Bottom