Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Yuko kwenye birthdayparty subiri amalize 1
So ina maana hawezi kufanya maamuzi haya. Basi kuna kazikweli kweli! I wish Shikh angekuwepo!Hayo ni maamuzi magumu kwa JK.
kwani kisha rudi toka south..Yuko kwenye birthdayparty subiri amalize 1
Ameambiwa aeleza zile fedha zimepelekwa wapi kwa maana kwenye akaunti pale NMB zillingia halafu zikatolewa, Sijui itakuwaje atakapotaja akaunti za wakubwa ambazo zimeingiziwa mgao!Enyi wadugu wa CCM, Anayejiona yuko swafi sana awe wa kwanza kumtupia jiwe JAIRO bwana, Amen