Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amezuia serikali kupeleka chakula cha msaada wilayani Misenyi mkoani Kagera kwa madai kuwa wilaya hiyo haina sababu ya kukumbwa na tatizo la njaa.
Rais Magufuli amekataa serikali kupeleka chakula cha msaada katika wilaya hiyo na kusema haikubaliki kwa eneo hilo lenye mvua za kutosha na hali nzuri ya kilimo na kwamba haiwezekani kulia njaa wakati kuna uwezekano wa kuzalisha kwa ajili ya chakula.
Wakati akisema haya kuna viongozi wengi tu wapo wilayani na Mkoani Kagera.
Kama ni hivyo basi tunaomba atumbue DC Kwa kukiuka agizo lake.

tumia akili yako vizuriWatoto wanakula kwa Wazazi wao, Wazee wana watoto wanatamba tu mjini hapa na kelelele kumbe wazee wao njaa kali. Wahaya ni watu hovyo sana
Ndio nimeitumia kutafakari sifa zote za Wahaya njaa kalitumia akili yako vizuri
basi itakuwa ni akili ndogo kuliko ya panzi ..............Ndio nimeitumia kutafakari sifa zote za Wahaya njaa kali
Umesema kweli kabisa. Kuna wazee, watoto, walemavu ambao ukame huo wa migomba kunyauka umewaathiri na wao jee kuwanyima chakula ndio suluhisho?Hivi na watoto nao wanatakiwa kulima chakula? Hivi na wazee na wagojwa nao wanatakiwa kulima chakula chao. Kuruhusu watu wafe kwa njaa kwa sababu ya msimamo wa kuwanyosha watanzania ni uharifu dhidi ya ubinadamu. Labda kama hakuna njaa na watu wanatafuta kupiga kwa kusingizia njaa,
Kigamboni aliwaambia wapige mbizi, wakati wauchaguzi alisema alikuwa anawatania watani wake. Wasukuma wana utani na makabila yote ya Tanzania?Uchaguzi ukifika atautafuta ulimi mzuri tu
. Kwanini mtu uwe mjinga kiasi hiki...akili za mendé hazimtosh binadamu jameni!!huwez tukana mababu mpaka vichanga kijinga namna hii.Watoto wanakula kwa Wazazi wao, Wazee wana watoto wanatamba tu mjini hapa na kelelele kumbe wazee wao njaa kali. Wahaya ni watu hovyo sana
PointNaona Magufuli anawalizimisha watu kutumia akili zao kupata chakula, malazi, na mafanikio.
Tungeomba na Serikali iwe mfano kwa kukutana misaada yote inayotoka nje. Itumie akili kupata maendeleo, uchumi bora etc .