Inabidi mtukufu awe na huruma huko ndizi ziliharibika,na hata senene wamekuwa shida,sasa walime mwezi mmoja watavuna kweli?Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amezuia serikali kupeleka chakula cha msaada wilayani Misenyi mkoani Kagera kwa madai kuwa wilaya hiyo haina sababu ya kukumbwa na tatizo la njaa.
Rais Magufuli amekataa serikali kupeleka chakula cha msaada katika wilaya hiyo na kusema haikubaliki kwa eneo hilo lenye mvua za kutosha na hali nzuri ya kilimo na kwamba haiwezekani kulia njaa wakati kuna uwezekano wa kuzalisha kwa ajili ya chakula.
Wakati akisema haya kuna viongozi wengi tu wapo wilayani na Mkoani Kagera.
Kama ni hivyo basi tunaomba atumbue DC Kwa kukiuka agizo lake.
Hivi na watoto nao wanatakiwa kulima chakula? Hivi na wazee na wagojwa nao wanatakiwa kulima chakula chao. Kuruhusu watu wafe kwa njaa kwa sababu ya msimamo wa kuwanyosha watanzania ni uharifu dhidi ya ubinadamu. Labda kama hakuna njaa na watu wanatafuta kupiga kwa kusingizia njaa,Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amezuia serikali kupeleka chakula cha msaada wilayani Misenyi mkoani Kagera kwa madai kuwa wilaya hiyo haina sababu ya kukumbwa na tatizo la njaa.
Rais Magufuli amekataa serikali kupeleka chakula cha msaada katika wilaya hiyo na kusema haikubaliki kwa eneo hilo lenye mvua za kutosha na hali nzuri ya kilimo na kwamba haiwezekani kulia njaa wakati kuna uwezekano wa kuzalisha kwa ajili ya chakula.
Wakati akisema haya kuna viongozi wengi tu wapo wilayani na Mkoani Kagera.
Kama ni hivyo basi tunaomba atumbue DC Kwa kukiuka agizo lake.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hadi wakomeMagufuli Anakula Nao Sahani Moja!
Leo ss kesho wengine.Kila kitu mapito time will tell[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hadi wakome
Watoto wanakula kwa Wazazi wao, Wazee wana watoto wanatamba tu mjini hapa na kelelele kumbe wazee wao njaa kali. Wahaya ni watu hovyo sanaHivi na watoto nao wanatakiwa kulima chakula? Hivi na wazee na wagojwa nao wanatakiwa kulima chakula chao. Kuruhusu watu wafe kwa njaa kwa sababu ya msimamo wa kuwanyosha watanzania ni uharifu dhidi ya ubinadamu. Labda kama hakuna njaa na watu wanatafuta kupiga kwa kusingizia njaa,
Watoto wanakula kwa Wazazi wao, Wazee wana watoto wanatamba tu mjini hapa na kelelele kumbe wazee wao njaa kali. Wahaya ni watu hovyo sana
Ukweli unamweka mtu huruUchaguzi ukifika atautafuta ulimi mzuri tu