Meja vitalis
Member
- Aug 7, 2013
- 32
- 14
Wawekezaji wengi wanaokuja kuwekeza Tanzania,wanashindwa kulipa fidia kwa hathari mbalimbali zinazotokana na uwekezaji wao na hii ni kwa sababu ya mfumo mbaya wa serikali ya mapinduzi!,mfano wakazi wa Wilaya ya MULEBA tarafa ya IZIGO mkoani KAGERA,wamekuwa wakipata shida sana kwa uwekezaji uliopo katika kata ya katoke,mradi wa upasuaji miamba unaosababisha kubomoka kwa nyumba za wakaz wa eneo hilo bila fidia yoyote!! wananchi wanapofuatilia jambo hili katika ofisi za wawekezaji,husema tiyari wamelipa fidia japo haijawafikia walengwa!.mi naomba wanaharakati na waandishi wa habari waende maeneo hayo waone ufisadi huu!.KWAN MNATAKA TUANDAMANE?