Mpaka leo sijawahi kusikia uthibitisho wowote kuwa Serikali ndiyo inateka watu

uthibitisho kwamba serikali ndiyo inateka watu.
1) makonda alisema roma angepatikana kabla ya jumapili hakupatikana! na kwenye press mwakyembe alienda kufanya nini?
2) ulimboka wakati wa mgomo wa madr. = mtekaji ramadhani ighondu
3) nondo : kauli ya JPM, makonda na mwigulu. RPc iringa na mambo saba
upo hivyo ulivyo na kitambi chako sababu ya ujinga wako

kichwa chako kimejaa usaha wewe. makonda ananusuru maisha ya nondo na ya roma mbona asiokoe ya ben sanane?
Toa hoja na usijenge dhana tu kichwani mwako
 
nakuongezea na hili. siku ile ulimboka anafika pale mui2 alimtambua mmoja wa watu waliomteka na kumtesa.
ongeza na hili siku ile wakati roma anafanya press conference wazir mwakyembe alitoka dodoma na kwenda kwenye ile presa alienda kama nani pale na kwa nn alienda ?
nakuongezea na hili cctv kule kwenye makazi ya kisu dodoma ziliondolewa siku chache baada ya lisu kushambuliwa kwann ziliondolewa?
naongeza na hili, lisu ni mbunge iweje ashambuliwe bila serikali kumpata aliyeshambulia miezi karibu suta sasa? mbona nondo kapatikana haraka hivi.
je yupo wapi bwana Juma dogan yule kada wa ccm aliyemuokota kijana nondo msituni na kumpa pesa ya tax?
nakuongezea tena ni wapi nonfo alisema ametekwa? hadi wewe unaseema amejiteka
 
Usitudanganye bwana ....Dr Ulimboka nakumbuka kabisa amesema hawajui waliomteka hizo dhana tu zinajengwa na watu kama wewe.

Kuhusu Roma na Dr Mwakyembe hakuna issue yoyote hapo na Roma hakuzuiwa na Dr Mwakyembe kuongea chochote ila alikuwepo kama waziri mwenye dhamana na mambo ya utamaduni na music ni sehemu mojawapo.Roma alikuwa free kuongea

Kuhusu cctv taarifa kuwa zilikuwepo au zimetolewa imetolewa na nani?

Lissu bado upelelezi unaendelea ukikamilisha taarifa itatolewa hata ukipita mwaka.siyo kazi yako.

Kuhusu Nondo taarifa ya awali ni kuwa amejiteka toka kwa Kamanda kanda maalum Dar.
 
kama wewe ni mtanzania wa kuzaliwa kweli na sio kubumbabumba eleza maana ya kutekwa/ kuniteka kwa mujibu wa TUKI.
kuhusu ulimboka unajua kwann gazeti la mwanahalisi lilifungiwa 2012.
kuhusu lisu hakuna upelelezi unaoendelea ila swala hili ni maigizo tu na kuhadaa umma.
kuhusu cctv ... unataka tufuatte protocal za kihabari kwamba lazima mamlaka ziseme! wewe mbona huna mamlaka ya kusema serikali haiteki ama inateka?
kuhusu dr mwakyembe na roma. kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo utajua kuwa mwakyembe hajaenda kama wazir mwenye dhama? mbona juliana hajaenda kwa nondo?
wewe ni mwepesi sana mkuu
 
Kwani unaposikiaga serikali ina mkono mrefu huwa unaouona huo mkono?
Mkono mrefu wa serikali ni vyombo vyake ulinzi na kiusalama na kiuchunguzi katika kutafuta chochote kile
 
kama wewe ni mtanzania wa kuzaliwa kweli na sio kubumbabumba eleza maana ya kutekwa/ kuniteka kwa mujibu wa TUKI.
kuhusu ulimboka unajua kwann gazeti la mwanahalisi lilifungiwa 2012.
kuhusu lisu hakuna upelelezi unaoendelea ila swala hili ni maigizo tu na kuhadaa umma.
kuhusu cctv ... unataka tufuatte protocal za kihabari kwamba lazima mamlaka ziseme! wewe mbona huna mamlaka ya kusema serikali haiteki ama inateka?
kuhusu dr mwakyembe na roma. kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo utajua kuwa mwakyembe hajaenda kama wazir mwenye dhama? mbona juliana hajaenda kwa nondo?
wewe ni mwepesi sana mkuu
Kutekwa na kuchukuliwa na watu unaowajua au ambao huwajui na kupelekwa mahali usipopajua kwa nia ya watekaji kupata chochote kupitia kwao aidha pesa au kushinikiza kitu falani kwa ndugu wa aliyetekwa.

Gazeti la mwanahalisi lilifungiwa kwa kusema uwongo kuhusu kutaja aliyemteka Dr Ulimboka

Mamlaka husika ndizo zenye mamlaka kutoa taarifa kuhusu cctv

Kuhusu Dr Mwakyembe na Roma ndo kama nilivyosema hapo juu sina haja ya kurudia tena
 
Mpaka leo Serikali inaweka mipaka waandiishi wa habari kuandika habari za kIBITI.. sasa kama unataka uhakika wa kujua kama Serikali inateka watu kawaulize ndugu wa jamaa waliopotea kule hadi leo
 
Ni jukumu la Polisi kuijulisha jamii nini kilitokea kwa anayedaiwa kutekwa na hatua ilizochukua kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria waliosababisha utekaji huo au waliosingizia kutekwa. Kwa bahati mbaya katika matukio yote hilo halijawahi kufanyika. Unadhani ni kwa nini?
 
.Mtekaji Bashite hao TISS majibwa tu wanatumwa..ningekuwa mmoja wao Bashite buriani kitambo
 
Na vipi ushahidi wa serikali kwamba wanaodaiwa kutekwa ni kwamba walijiteka wenyewe umewahi kuusikia?
 
Serikali haiteki watu na ndio maana baada ya Roma kutekwa kuna mtu fulani akajitokeza aksema "Roma atapatikana kabla ya jumapili jogoo halijawika" hapo Kumbuka Nape naye alikuwa ana press na watu wake wa MTAMA ikaja kiki ya ROma Kutekwa ikaiingiliana na issue ya NAPE.....Unganisha DOTs ndio utajua kwamba serikali huwa haiteki watu kama alivyosema kikwete.
 
Kikwete alitoa taarifa baada ya sakata la Ulimboka
 
nakuongezea na hili. siku ile ulimboka anafika pale mui2 alimtambua mmoja wa watu waliomteka na kumtesa.
ongeza na hili siku ile wakati roma anafanya press conference wazir mwakyembe alitoka dodoma na kwenda kwenye ile presa alienda kama nani pale na kwa nn alienda ?
nakuongezea na hili cctv kule kwenye makazi ya kisu dodoma ziliondolewa siku chache baada ya lisu kushambuliwa kwann ziliondolewa?
naongeza na hili, lisu ni mbunge iweje ashambuliwe bila serikali kumpata aliyeshambulia miezi karibu suta sasa? mbona nondo kapatikana haraka hivi.
je yupo wapi bwana Juma dogan yule kada wa ccm aliyemuokota kijana nondo msituni na kumpa pesa ya tax?
nakuongezea tena ni wapi nonfo alisema ametekwa? hadi wewe unaseema amejiteka
Aliyemshikia nnape bastora anafanya kazi ndani ya serikali gani,
 
Usitudanganye bwana ....Dr Ulimboka nakumbuka kabisa amesema hawajui waliomteka hizo dhana tu zinajengwa na watu kama wewe.

Kuhusu Roma na Dr Mwakyembe hakuna issue yoyote hapo na Roma hakuzuiwa na Dr Mwakyembe kuongea chochote ila alikuwepo kama waziri mwenye dhamana na mambo ya utamaduni na music ni sehemu mojawapo.Roma alikuwa free kuongea

Kuhusu cctv taarifa kuwa zilikuwepo au zimetolewa imetolewa na nani?

Lissu bado upelelezi unaendelea ukikamilisha taarifa itatolewa hata ukipita mwaka.siyo kazi yako.

Kuhusu Nondo taarifa ya awali ni kuwa amejiteka toka kwa Kamanda kanda maalum Dar.
Aliyemshikia Nape bastora anatumwa na nani,
Alionekana dhahiri,anaonekana kila siku na anatambulika
 
Tumia common sense japo skuizi sio common maana wengine hawana!! Unataka uletewe video ndoujue ama? Ushahidi was kimazingira unatosha was kimahakama siyo kazi nyepesi. Wanaofanya haya so wapuuzi wakikuona unakiburi unaweza sema wanakugwangala kabisa!! La unapigwa vitisho inabidi ukae kimya maana huwez shindana nao na huwa hawashtakiki duniani labda mbinguni!
Watu siku hizi hata common sense hawana!!!!!
 
Back
Top Bottom