Mpaka kufika 2030 hatutoboi nawaambia

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,759
Reaction score
37,374
Hii mafa JF wekeni pin kabisa.Tokea October 29 2025 mpaka sasa kama shuguli za serikali zimeamisha kuwa shuguli za propaganda,matumizi ya ovyo kwenye mamlaka,mda mwengi kujisafisha na kuumbuka.

Jinsi siku zinavyozidi kusogea na hali inavyozidi kuwa ukichaa na damu za watu.
 
Duh,
Akili gani hizo?
Una apartments umepangisha unaishi kwingine mbali, mpangaji akiuza ngada utaifishiwe?? Utajuaje kama anauza?!
 
Wale waliopangisha wapangani wenye biashara za duka la mahitaji ya nyumbani itakuwaje? πŸ˜πŸ˜„πŸ˜
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…