Mpaka iondolewe ndio wanatulia

Mimi naomba mnielimishe ni kweli sijui, faida za kumpata mwanamke bikra ni zipi labda? Mimi bado sielewi.

Kwa mtazamo wangu mwanamke aliyepitia mahusiano kadhaa lakini akaweza kujitunza huyo mimi ndio chaguo langu na siyo mimi nichukuwe mtoto nianze kugeuka mwalimu na nianze kumfundisha namna ya kuruka vihunzi vya wasanii.
 

hahahahahaha! kwahiyo mkuu, wewe unapenda Used. Vizuri ufundishe mwenyewe. Kuna vingine wanafundishwa ni hatari. Halafu usipo tembelea mzee lazima arudishiwe fundi mhusika.
 
Mi mwenyewe nilikutana na dem mmoja pale Tumaini alizingua saaanaa bt mwisho wa siku nilimkuta sealed!! Bado wapo bt inahitaji mahesabu makali kuwavumbua

Halafu mkuu ikawaje, ulimaliza ukachukua jumla au ukawaachia Goodboys kuja Kuoa?.
 
Inakera sana
 
hahahahahaha! kwahiyo mkuu, wewe unapenda Used. Vizuri ufundishe mwenyewe. Kuna vingine wanafundishwa ni hatari. Halafu usipo tembelea mzee lazima arudishiwe fundi mhusika.

Gari zote tunazopeana hongera kwa kununuwa gari mpya ni used ila kwa macho huwezi kuamini mpaka usome odometer, sasa mimi bado hujanieleza nikuelewe ni kwa nini mimi nianze kazi ya ualimu wakati wapo wenye experience za maisha na wanayajuwa maisha na kama maumivu wameshayapitia na wanajuwa thamani ya mwanaume ilivyopanda?
 

Mkuu tatizo sio hilo, gari Mpya ni ghali sana ndio maana tunalembukenia Maused. Lakini ukija upande wa Mahusiano, ukipata used inabidi ujitahidi angalau uweze kumaitaini Minimum Speed other wise imekula kwako. Inakua ni full michepuko.
 
Walio bikiliwa wote waje hapa wakipate cha mtemakuni kwa mtoto wakiha lekatutigite.
 
Hakuna ajuaye ya kesho na wala hakuna ajuaye moyo wa mtu mwingine......mi naamini hakuna mwanamke anayependa kuwa na msururu wa vidume ila inatokea tu unaangukia kwa mtu ambae hakupendi kwa dhati koz moyo wa mtu ni kiza kinene

Mmmmmmh......!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…