Mpaka iondolewe ndio wanatulia

mi dem wangu bikra na mi mwenyewe bikra 18yrs. na2na malengo ya kuoana and 2po chuo first year
 

wewe unayo seal?
 

wewe hapo ulipo unayo seal? ungekuwa unapata mimba ingekuwa umeto ngapi au ungekuwa na watoto wangapi.?
 
Uongo ndiyo dawa,hawa viumbe usipowadanganya wanazingua labda uende kwa wale wa kukodisha.
 
Hakuna ajuaye ya kesho na wala hakuna ajuaye moyo wa mtu mwingine......mi naamini hakuna mwanamke anayependa kuwa na msururu wa vidume ila inatokea tu unaangukia kwa mtu ambae hakupendi kwa dhati koz moyo wa mtu ni kiza kinene

mkuu unatumia kinywaji gani??
 
Akangaika...endelea kuvuta muda bado unakusubiri....Ukifika miaka 40 ndio zaa halafu uwaachie watoto ndugu zako wakulelee wakati wewe ushastaafu



Duh mm pia yupo moja ameniganda kinyama anadai anataka ndoa af mwenzake ndo ata sina mpango, sijui nifyatuke vp yan.
 
Akangaika...endelea kuvuta muda bado unakusubiri....Ukifika miaka 40 ndio zaa halafu uwaachie watoto ndugu zako wakulelee wakati wewe ushastaafu

Akifa tunamzika na mwanae.....tusipeane tabu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…