ushakuwa mwl wa kiswahili muda huu ? [emoji23][emoji23] ebu jikite kwenye mada tutolee upopoma wako humu sio darasa la uandishi"Mbaka"
Uandishi wa wabongo wengi ni janga la kitaifa kuzidi hata upungufu wa nguvu za kiume[emoji848]
Ni kocho ndo wanaandika hivyo"Mbaka"
Uandishi wa wabongo wengi ni janga la kitaifa kuzidi hata upungufu wa nguvu za kiume[emoji848]
Hapana shaka chief. USA inatisha. USA ndo alimwokoa USSR mikononi mwa ujerumani kwa kuwapa siraha kaliKwanza, nimejiuliza kuhusu vita ya Russia na Ukraine, kwamba pasingekuwa na mkono wa US tayari biashara ingeisha mapema sana. Saa hizi Ukraine yote ingekuwa imepambwa kwa bendera za Urusi tu.
Pili nimejiuliza inakuwaje, Putin alitoa ahadi ya kumshughulikia kikamilifu yoyote atakae jiingiza kwenye hiyo vita kwa namna yoyote.
Lakini mbaka sasa US anaonyesha waziwazi ushiriki wake lakini sioni action yoyote Putin anayochukuwa kwa aliewaonya kujihusisha na vita hiyo.
Tatu najiuliza, kwanini US wanatoa taarifa ya kila kitu wanacho peleka Ukraine,Yani vifaa vya kijeshi.
Wanasema wazi kabisa, mwezi huu tunapeleka silaha flani,mweziujao tunapeleka silaha flani nakweli zinakwenda waziwazi bila kificho.
Sasa tushangae wote, kwanini nchi nyingine hawatangazi kumsaidia Putini kijeshi waziwazi?.
Kwanini hatakama wanamsaidia kwa kificho,kwanini US anawafuatilia na akiwataja kwamba wanamsaidia Putin wao wanakimbia haraka kwenye Media kukanusha kwamba hawajasaidia chochote.
Wanakataa kata kata, wanaogopa nini kusema ndio tunamsaidia bwana Putini kujilinda.
Mbona US wanatangaza wenyewe kwamba tunapeleka silaha na wanapelekakweli.
Inamaana hawa muhofii mtu yoyote. Kwanini?
Hapo sijaweka tukio la Taiwan sababu wote tunajua kilicho tokea.
Na akawapora Shaba yote ya Alaska, hiyo kitu inamuuma sana Putin sema ujanja Hana!!Hapana shaka chief. USA inatisha. USA ndo alimwokoa USSR mikononi mwa ujerumani kwa kuwapa siraha kali
Watoto wa nje ya ndoa mna matatizo sanaushakuwa mwl wa kiswahili muda huu ? [emoji23][emoji23] ebu jikite kwenye mada tutolee upopoma wako humu sio darasa la uandishi
Kama mnataka ajira za ualimu mje ninazo 3 mshahara mnono sio kujitangaza kihun humu [emoji23]Watoto wa nje ya ndoa mna matatizo sana
Mie sina shida na ajira za ualimu nina biashara yangu kubwa ya majeneza ambapo napiga hela mpaka 7m per month.Kama mnataka ajira za ualimu mje ninazo 3 mshahara mnono sio kujitangaza kihun humu [emoji23]
Alaska ni swala la zaman enz za balance of powers among Europeans , Urusi aliogopa kuporwa akaamua liuza kwa USANa akawapora Shaba yote ya Alaska, hiyo kitu inamuuma sana Putin sema ujanja Hana!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa kilaza sanaMie sina shida na ajira za ualimu nina biashara yangu kubwa ya majeneza ambapo napiga hela mpaka 7m per month.
Nikuombe tu ikitokea umekaribia kufa waambie ndugu zako waje niwauzie jeneza lako kwa bei ya punguzo
Mie sio kilaza ila ni mjasiriamali wa ndani.![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa kilaza sana
umetisha asee , niombee uzima ili uzid kula hasara [emoji1787]Mie sio kilaza ila ni mjasiriamali wa ndani.!
Ukija Dom nitafute japo uje uniunge majeneza kaka ukinunua mawili nakuongeza moja la mtoto akiba haiozi unayatunza ndani ikitokea msiba unatumia
Alimpora au Russian Tsar alimuuzia hiyo territory USA kama Mexico alivyouza Northern Mexican territories zilizokuwa chini yake kama New mexico ,Nevada ,Arizona na California Kwa USA baada ya vita kati ya Mexico na USA federation ?Na akawapora Shaba yote ya Alaska, hiyo kitu inamuuma sana Putin sema ujanja Hana!!