Kweli hebu afafnue!Fafanua hayo manyanyaso.
Tatizo wewe hujapita JKT ! Pengine pale ni "smart area" na hawa vijana wa pikipiki hawana nidhamu. Hata gari ikipaki kijinga kijinga eneo lile jamaa wanakutokea fasta ! Jipange mzee !Naomba kuuliza hawa MP's wa Lugalo kukaa barabarani kama traffic ni halali??maana naona wanawanyanyasa vijana wetu wanaoendesha Pikipiki kama bodaboda pasipokuwa na sababu za msingi!na kuwachelewesha kwenye shughuli zao!!
Mimi nauliza je wao kazi yao nikulinda barabara??kambi??au wapitao njia hiyo?Kama ni hivyo basi serikali ibadilishe njia ili vijana wetu waepuke na bugdha hii!!Inakuwa kama tupo kwenye nchi yenye karantiini ya kutembelea barabara zilizopo karibu na makambi ya jeshi!!
Hili ni jeshi la wananchi na siyo liwe jeshi lakusumbua wananchi!!Tunaomba wenye mamlaka husika waangalie hili kwa jicho laziada.
Kwahiyo wewe unaona ni sahihi kwa bodaboda na bajaji kuto kufuata sheria za barabarani?Naomba kuuliza hawa MP's wa Lugalo kukaa barabarani kama traffic ni halali??maana naona wanawanyanyasa vijana wetu wanaoendesha Pikipiki kama bodaboda pasipokuwa na sababu za msingi!na kuwachelewesha kwenye shughuli zao!!
Mimi nauliza je wao kazi yao nikulinda barabara??kambi??au wapitao njia hiyo?Kama ni hivyo basi serikali ibadilishe njia ili vijana wetu waepuke na bugdha hii!!Inakuwa kama tupo kwenye nchi yenye karantiini ya kutembelea barabara zilizopo karibu na makambi ya jeshi!!
Hili ni jeshi la wananchi na siyo liwe jeshi lakusumbua wananchi!!Tunaomba wenye mamlaka husika waangalie hili kwa jicho laziada.
Jipange wewe mimi senior kwako katika maswala ya gesi wewe dogo!!Unataka nikutajie operation yangu??soma uzi uliopita unaohusu JKT au nikupe force no yangu W....73Tatizo wewe hujapita JKT ! Pengine pale ni "smart area" na hawa vijana wa pikipiki hawana nidhamu. Hata gari ikipaki kijinga kijinga eneo lile jamaa wanakutokea fasta ! Jipange mzee !
Military base ndani siyo barabarani walitaka kufanya hivyo kukomaa na hile barabara serikali ikasema no na wakazi wakawe wakafunguliwa barabara iliyokuwa imefungwa siku kibao!!Lugalo ni Military Base, hivyo uhuni wa mitaani wa akina bodaboda na bajaj pale si mahala pake.
taja operation na force number nikubanie mikono mkuu !Jipange wewe mimi senior kwako katika maswala ya gesi wewe dogo!!Unataka nikutajie operation yangu??soma uzi uliopita unaohusu JKT au nikupe force no yangu W....73
Manyanyaso nimengi ingekuwa ni kambini ningesema kweli somo la smart area lifuatwe lakini katika barabara ya public??bodaboda haruhusiwi kumpita mwenye gari au vyovyote vile sisawa jamani!!
Tatizo wewe hujapita JKT ! Pengine pale ni "smart area" na hawa vijana wa pikipiki hawana nidhamu. Hata gari ikipaki kijinga kijinga eneo lile jamaa wanakutokea fasta ! Jipange mzee !
Timamu mkuu ! Operation mafuriko lushoto ! AC 07...........!Op Kizota!W..73
Sijasikia JAMBO AFANDE wakati umesimamia dole dumba la mguu mkuu!!lol!!Namikono umebana usawa wa mifuko yako ya pembeni!!!