Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,278
- 44,414
Hujaona avatar yake imetumika hapo kwenye picha ya kwanza..Joseverest kaingiaje hapo kwenye uzinduzi?
internet, ila browser pia ina part yake hasa kwenye site zenye script mbovu mbovu au zenye content nyingi, unatumia browser gani? hebu jaribu kuingia hapa
firefox ina kawaida ya ku-lag/freeze (alert: unresponsive script errors), watakua wame-clear hilo tatizo?internet, ila browser pia ina part yake hasa kwenye site zenye script mbovu mbovu au zenye content nyingi, unatumia browser gani? hebu jaribu kuingia hapa
PassMark - CPU Benchmarks - CPU Mega Page - Detailed List of Benchmarked CPUs
uone kama site inakuwa nzito
pengine mkuu, ila si matatizo yote ya hivyo ni ya browser, sometime ni tatizo la flash au java.firefox ina kawaida ya ku-lag/freeze (alert: unresponsive script errors), watakua wame-clear hilo tatizo?
pengine mkuu, ila si matatizo yote ya hivyo ni ya browser, sometime ni tatizo la flash au java.firefox ina kawaida ya ku-lag/freeze (alert: unresponsive script errors), watakua wame-clear hilo tatizo?
Mkuu am sorry,hivi kwa sasa hivi ni FTA decoder gani ni bora zaidi kwa Afrika/Tanzania?pengine mkuu, ila si matatizo yote ya hivyo ni ya browser, sometime ni tatizo la flash au java.
tafuta Gsky V8 au V7 zina features nyingi za kiafrica.Mkuu am sorry,hivi kwa sasa hivi ni FTA decoder gani ni bora zaidi kwa Afrika/Tanzania?
Hizo features nyingi za kiafrika ni zipi hizo mkuu?tafuta Gsky V8 au V7 zina features nyingi za kiafrica.
- za kuchakachua, utaweza kuangalia chanell za Bisskey na powervu ambazo zimefungwa.Hizo features nyingi za kiafrika ni zipi hizo mkuu?
inategemea na matumizi na unachotaka kufanya.Napenda kujua ipi ni browser nzuri kwa matumizi ya cm na ipi ni bora zaidi kwenye pc naomba majibu plz
Chief hapa unamaanisha kwa mtu wa matumizi ya kawaida n yule wakusoma tu vtu net? Na huyu wa matumizi makubwa yani POWER USER matumizi yake huyu n ya aina gani?? nataka kufahamu hlo ili nijijue nipo Group gani nadhani itanisaidia kujua Browser yangui ndo inashda au mashne au net nayotumia or what..Nichambulie tafadhali chief hawa watu wawili matumizi yao ili nijue nipo wapi.inategemea na matumizi na unachotaka kufanya.
kama wewe ni mtumiaji wa kawaida unaweza tumia google chrome kote pc na simu.
kama unataka kusave data kwenye simu au una simu yenye specs ndogo au unataka kubrowse upesi upesi tafuta opera mini au ucweb mini.
kama una matumizi mengi na ni power user firefox ipo vizuri zaidi.
mkuu ukitumia chrome unapata shida yoyote? sababu matumizi mengi ya simu ni ya kawaida.Chief hapa unamaanisha kwa mtu wa matumizi ya kawaida n yule wakusoma tu vtu net? Na huyu wa matumizi makubwa yani POWER USER matumizi yake huyu n ya aina gani?? nataka kufahamu hlo ili nijijue nipo Group gani nadhani itanisaidia kujua Browser yangui ndo inashda au mashne au net nayotumia or what..Nichambulie tafadhali chief hawa watu wawili matumizi yao ili nijue nipo wapi.