Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Mgombea Ubunge wa jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Moza Ally amesema akichaguliwa na wananchi wa jimbo hilo akaenda bungeni atakuwa mbunge mwenye kuwasemea wananchi wake kwa kujenga hoja badala ya kuwa mbunge wa kukubali kila kitu.
Moza ameyasema hayo leo Oktoba 20, 2025 alipokuwa akifanya kampeni za mtaa kwa mtaa katika kata ya Hananasif, jimboni hapo.
Moza ameyasema hayo leo Oktoba 20, 2025 alipokuwa akifanya kampeni za mtaa kwa mtaa katika kata ya Hananasif, jimboni hapo.