Babaa.....
Tambua kuwa moyoni naumia.....
Nimepata maradhi, na tiba unayo wewe babaaa...
Fanya hima, naumia eeeh....
Kila nikilala taswira yalo naiona, vivyo hivyo suati yako...
Huku akili yangu ikipapasa ndevu zako..... aaah...!😞😞😞moyoni naumia eeehhhh.....
View attachment 2096739
Wajua nalikosa huba lako mpenzi, basi sema nami lau kidogo eeeh babaaa....
View attachment 2096740
Moyoni naumia eeehh
Pamoja na yote hayo hayo ila msosi unashuka kama kawaida 😅, ila bado naumia eeehhh 😔😔😔.
Njoo hima tabibu wangu mpenzi, uniponye roho yangu ipate kupoa eeeh... kwakweli naugua eeeh..😔😔😔.
Ilhali nakupenda pasi kifani, na kuumwa juu ya huba lako...(yakuwa naumia moyoni....) kamwe sikuachi... Hadi utaponiacha wewee....
Leo na kesho peponi, I Love You babaaa 😘😘🥰.
Kasinde Mahaba Matata.
KanaFlow enh!? [emoji41]Akili mtu wangu
KanaFlow enh!? [emoji41]
Moyoni naumia eeehh
Babaa...
Tambua kuwa moyoni naumia...
Nimepata maradhi, na tiba unayo wewe babaaa...
Fanya hima, naumia eeeh...
Kila nikilala taswira yalo naiona, vivyo hivyo suati yako...
Huku akili yangu ikipapasa ndevu zako..... aaah...![emoji20][emoji20][emoji20]moyoni naumia eeehhhh...
View attachment 2096739
Wajua nalikosa huba lako mpenzi, basi sema nami lau kidogo eeeh babaaa....
View attachment 2096740
Moyoni naumia eeehh
Pamoja na yote hayo hayo ila msosi unashuka kama kawaida [emoji28], ila bado naumia eeehhh [emoji17][emoji17][emoji17].
View attachment 2096777
View attachment 2096778
View attachment 2096779
Bibi Foodie [emoji39][emoji39]
Njoo hima tabibu wangu mpenzi, uniponye roho yangu ipate kupoa eeeh... kwakweli naugua eeeh..[emoji17][emoji17][emoji17].
Ilhali nakupenda pasi kifani, na kuumwa juu ya huba lako...(yakuwa naumia moyoni....) kamwe sikuachi... Hadi utaponiacha wewee....
Leo na kesho peponi, I Love You babaaa [emoji8][emoji8][emoji3059].

Wachana nayo!Yeah kina flow [emoji23][emoji23][emoji23]