Heri angekumwaga kuliko kukumimina,pole sana dogo kwa kuteswa na mapenzi sisi kaka zako tunateswa na pesa.Mapenzi yanauma sana Usiombe yakukute Moyo unaniuma sana sikutegemea kama nitamwagwa mzima mzima bila kujua kosa langu ni nini.......Nilimpenda sana huyu bint japo baso sikuwai kulala naye lskini nilimpenda nikejikuta kama mpumbavu kwako hakika nimeamini kua uyaone si kingine ni mapenzi yana nguvu kuliko chocjote moyo wangu umebadilika ghafla mwili wangu wote umeishiwa hata hamu ya kula sina hakika mungu nisaidie nisije nikapenda tena....
😀😀watu wazima sisi babe..Bebe nimependa huo mstari wa pili mm
nilipata ulcers kwenye mapenzi nikaona nikipenda tena ntapata ugonjwa wa moyo wacha nivunje mifupa meno yangali yapo...... Siwazi kupenda zaid ya kutamani
Dawa ya mapenzi ni kutendwa kwenye mapenzi huwezi kuwa na akili sawasawa hadi utendwe sasa kama umeshapitia huko na sasahvi hupendi kwa moyo wote basi tunasema umeshamaliza stage ya utoto umekuwa mtu mzimaDaah asee hii ni hatar
ila swala la kwmba hii tabia y kupendapenda cyo nzuri c kila sku tunaambiwa mbna hatukomi?
Wanamusic kila sku wanatoa nyimbo mara mapenzi bac, mara sikupendi, mara nenda zako, mara mapenzi kichaka
Kwny movies, hadithi, stories kila sku zinatuambia
sasa cjui kwann hatuelew sisi viumbe[emoji23][emoji23]
Haswaaa muda ndo kilaa kitu hakuna kinachodumu mileleKuitwa mtu mzima na uliyekomaa sio kitu rahisi...ni kwamba umepitia baadhi ya changamoto na kuweza kuzikabili,."Upendo hushinda kifo"...
Pole sana sana,.sisi watu wazima tulisha yaonja hayo kiasi yametukomaza,.kupenda hatuachi kupendana lakini kwa kiasi,ukiona unampenda mtu lakini hakurudishii ule upendo unao kustahili,.unamuacha kiutu uzima hivyo hivyo,.utaumia leo,kesho kukikucha maisha yanaendelea na unatafuta furaha nyingine..
Pole sana,.na mwisho;muda ndio muamuzi sahihi,.nikuambie tuu "HILO NALO LITAPITA"
Kabisaaa kabisa,.Haswaaa muda ndo kilaa kitu hakuna kinachodumu milele
Dawa ya tatizo lako tafuta hela utashangaa watakavyokuganda.Mapenzi yanauma sana Usiombe yakukute Moyo unaniuma sana sikutegemea kama nitamwagwa mzima mzima bila kujua kosa langu ni nini.......Nilimpenda sana huyu bint japo baso sikuwai kulala naye lskini nilimpenda nikejikuta kama mpumbavu kwako hakika nimeamini kua uyaone si kingine ni mapenzi yana nguvu kuliko chocjote moyo wangu umebadilika ghafla mwili wangu wote umeishiwa hata hamu ya kula sina hakika mungu nisaidie nisije nikapenda tena....
hata kumla hajamla ", lakini analia lia" Aisee ",sijawahi shiriki huo udhaifuUmedumu naye kwa muda gani,na alikuwa mpenzi,mchumba au mke
Kakuacha na kosa hulijua?!!! Ulikua unampa hela (unamgharamikia)? Kama jibu hapana basi jua amepata wa kumpa hela.Mapenzi yanauma sana Usiombe yakukute Moyo unaniuma sana sikutegemea kama nitamwagwa mzima mzima bila kujua kosa langu ni nini.......Nilimpenda sana huyu bint japo baso sikuwai kulala naye lskini nilimpenda nikejikuta kama mpumbavu kwako hakika nimeamini kua uyaone si kingine ni mapenzi yana nguvu kuliko chocjote moyo wangu umebadilika ghafla mwili wangu wote umeishiwa hata hamu ya kula sina hakika mungu nisaidie nisije nikapenda tena....
Hilo ndilo kosa lako mkuu!Ulishindwa nini kutafuna?Angeondoka anakumbukumbu ya kitu lakini sasa hatakukumbuka tena!Nimedumu nae kwa miezi 3 sasa alikua ni mpenzi wangu na mimi sikua na haraka ya kukutana naye kimwili kwa kuwa nampenda sana na nina malengo naye.
Sikia mkuu,huyo uliyemkubali hakufai na huenda amegongwa na muhuni mmoja akaona wewe huna maana.Hakkka ila kiukweli moyo wangu unaniuma sana tena sana tu kwani nimetokea kumkubali sana huyu binti. Ahsante pia