Ooooohhh safi kwa kujisikitikia naona unaanza kujitambua sasa!!!Sawa sawa, hata me nasikitika ujue
ndio hivyo hapo utateseka tu ukiendeleza hiyo tabiaDuuh
AminaNaamini hivo, for sure nitamwomba sana Mungu, najua kila jambo kwake linawezekana
Kweli ukijaribu kushare jambo na watu unapunguza mzigo mzito moyoni, then unajikuta mwepesi kwa kiasi fulan, thanksOoooohhh safi kwa kujisikitikia naona unaanza kujitambua sasa!!!
Hapa unatuponda viumbe sie bhana weee haya malingo yapo kote si kwa wanawake iwish uwe ke then mpende mtu ajue uone hizo nyodo unatuma text leo utajibiwa kesho tena short answerMmmhhh pole mkuuu .
Weee nimwanamme ikiwa utafuauli kuzishinda nyakati ngumu Basi maishan mwako hutokua nakitu chakupoteza .
Sijui kwa wanaume wenzangu ila Mimi Putin,, sijawahi kuumia kwamambo aloyasababisha mwingine ,,, ukiona naumia huwa naumia sababu ya jambo nilomtendea Mimi sasa nafsi inanisuta.
Embu jifunze kutotoa nafasi za watu ( mahusiano )kukuumiza nautambue ,,mapenzi nikitovu chauzembe ,,mapenzi yanaweza kukuharibia kazi nahata kukuaa.
AISEEE KWA AJILI YA MOYO WANGU MAMAISHA YANGU ,,NIBORA WAENDELEE KUNIONA MKOLONI !!!.ILA UPUUZI SITAKI...
Element moja wapo yamtu Kukupuuza huwa nimajibu yake .
Mfano am charting with you then unanipa a One word answer wakat nmekutext so as to have a conversation with you !!! Aiseeeee embu kua nahii moja ya sheria zangu "fire-fight-fire" ..... Akijifanya anakuigizia maisha as if km ni WIDOW ,naww jifanye ni WIDOWER.
MKUU KIUKWELI NAMSHUKURU MUUMBAJI WANGU KWA KUNIPA MOYO MGUMU ,,MOYO WAKUJIAMINI ,, NINA SURA MBAYA LKN HUWA NAJUA HUYU AKINIZENGUA TUUU ,,NAAMSHA NATAFUTA MWINGINE NABADO NIKAPENDWA NA KUAMINIWA !!!.
Viumbe hawa ,, kama anakuzengua alafu naww unaendelea kushikilia Uzi Wa " nakupenda tu " Basi jiandae kua Mnunuzi mzuri Wa vitambaa,,, Dawa za maumivu ,,,kutafuta ushauri Sanaaa,, n.k.
MKUUU USIRUHUSU MWANAMKE KUIFANYA ROHO YAKO KUA REHANI !!.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anazingua kichiz...Na huyo pia hakufai ondoka tu.. Halafu acha tabia ya kuzama kwenye mapenzi moja kwa moja...Ishi kijanja ohoo
Mkuu naelewa hata Mungu hawezi kupa mtu ambae hana mapungufu yake, lakini pia Mungu anakupa mtu mwenye mapungufu ambayo unaweza kufit wewe hapo. But thank you unajaribu kutufungua hili wingu kwenye vichwaUnasubiri mapenz ya dhati kwa karne hii!... Labda uachane na vigezo unavyotembea navyo ....
Awe msomi wa degree 2
Awe mrefu mweupe
Awe anatoka familia inayojiweza
Awe wa miaka 20 hadi 25
Awe bikra.....
Lakini mna sahau kutafuta mwenye mapenzi ya dhati,...
Sasa unajiuliza,! Mke akiwa na sifa zote hizo ndio anayefaa hata asipokua na mapenz ya dhati?
Mwishowe mkikaa miezi mitatu mnaanza kubadilika tena, mnataka mapenzi ya dhati, mweee!... Msitarajie kupata hilo!
Umewaza vibayaJIPENDE MWENYEWE ACHA UFALA WEWE
Yap yap yaani ameshindwa hata kujiongeza mkuu...anabaki analia na kuugua mapenzi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anazingua kichiz...
Mkuuu nmesemea kwa upande wangu km me .Hapa unatuponda viumbe sie bhana weee haya malingo yapo kote si kwa wanawake iwish uwe ke then mpende mtu ajue uone hizo nyodo unatuma text leo utajibiwa kesho tena short answer
Kuishi kijanja kukoje boss?Na huyo pia hakufai ondoka tu.. Halafu acha tabia ya kuzama kwenye mapenzi moja kwa moja...Ishi kijanja ohoo
Kwa akili/mguu nje mguu ndani na hawa wanawake wa kileoKuishi kijanja kukoje boss?
Umenipa madini hapa mkuu, naamini wengi wamefaidi pia, Ahsante sana, hii ndo faida ya kushirikisha watuMmmhhh pole mkuuu .
Weee nimwanamme ikiwa utafuauli kuzishinda nyakati ngumu Basi maishan mwako hutokua nakitu chakupoteza .
Sijui kwa wanaume wenzangu ila Mimi Putin,, sijawahi kuumia kwamambo aloyasababisha mwingine ,,, ukiona naumia huwa naumia sababu ya jambo nilomtendea Mimi sasa nafsi inanisuta.
Embu jifunze kutotoa nafasi za watu ( mahusiano )kukuumiza nautambue ,,mapenzi nikitovu chauzembe ,,mapenzi yanaweza kukuharibia kazi nahata kukuaa.
AISEEE KWA AJILI YA MOYO WANGU MAMAISHA YANGU ,,NIBORA WAENDELEE KUNIONA MKOLONI !!!.ILA UPUUZI SITAKI...
Element moja wapo yamtu Kukupuuza huwa nimajibu yake .
Mfano am charting with you then unanipa a One word answer wakat nmekutext so as to have a conversation with you !!! Aiseeeee embu kua nahii moja ya sheria zangu "fire-fight-fire" ..... Akijifanya anakuigizia maisha as if km ni WIDOW ,naww jifanye ni WIDOWER.
MKUU KIUKWELI NAMSHUKURU MUUMBAJI WANGU KWA KUNIPA MOYO MGUMU ,,MOYO WAKUJIAMINI ,, NINA SURA MBAYA LKN HUWA NAJUA HUYU AKINIZENGUA TUUU ,,NAAMSHA NATAFUTA MWINGINE NABADO NIKAPENDWA NA KUAMINIWA !!!.
Viumbe hawa ,, kama anakuzengua alafu naww unaendelea kushikilia Uzi Wa " nakupenda tu " Basi jiandae kua Mnunuzi mzuri Wa vitambaa,,, Dawa za maumivu ,,,kutafuta ushauri Sanaaa,, n.k.
MKUUU USIRUHUSU MWANAMKE KUIFANYA ROHO YAKO KUA REHANI !!.
HaaaaAa umenifanyia usiku wangu kweli ibabidi ninifanye mjane lolMkuuu nmesemea kwa upande wangu km me .
Nahata weee KE kwann ukubali kuzenguliwa ???? Kwann mwanamme akusumbue ????? .
Mwanamme akikuigizia km ni singo boy nawewe jifanye ni mjane !!!
* USIRUHUSU MTU MWINGINE KE/ME KUKUUMIZA MOYO WAKO.
Huoni kama tabia hiyo inachochea uasherati mkuu,?Kwa akili/mguu nje mguu ndani na hawa wanawake wa kileo
Daah Ahsante sana Mkuu, Ubarikiwe kwa ushauri muruaPole sana! Anza maombi ya kumsahau kama yule wa kwanza. Hata hivyo elewa kuwa moyo wa mtu ni kichaka hivyo usipende kupita kiasi.