Moyo wangu umeumia sana

Moyo wangu umeumia sana

Mtonyi

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
11
Reaction score
4
Ndugu wana jamii nahitaji msaada wenu,nina mchumba ambaye nimedumu nae kwa muda wa miaka 2,nampenda sana na ni mrembo sana.Hivi karibuni nimegundua ametoa ujauzito ambao alinipa taarifa kuwa anao lakini anajitetea kuwa hakuwa nao.Mbaya zaidi kwa sasa ananijibu kwa kauli mbovu sana na hata muda wa kuongea nami hana zaidi ya kunikatia simu napata shida kuacha kumtafuta na kusahau yote niliyoshirikiana nae naomba ushauri wenu nifanyeje au niendelee kupigania haja ya moyo wangu?
 
duh!! umetendwa na bidada....pole sana mwana. ila na nyie wanaume bwana mnakuwa mabwege sana mpaka mnatendwa na mwanamke. loh!!! wagegedeni alafu sepa kaka
 
Daaaah pole sana! Ni wazi hiyo mimba pengine haikuwa yako na huyo binti hakupendi!
Lakini ni bora umejua mapema!
Lakini muda utakuponya, pole!
 
duh!! umetendwa na bidada....pole sana mwana. ila na nyie wanaume bwana mnakuwa mabwege sana mpaka mnatendwa na mwanamke. loh!!! wagegedeni alafu sepa kaka

Mmh! kumbe ndo zako
 
Ndugu wana jamii nahitaji msaada wenu,nina mchumba ambaye nimedumu nae kwa muda wa miaka 2,nampenda sana na ni mrembo sana.Hivi karibuni nimegundua ametoa ujauzito ambao alinipa taarifa kuwa anao lakini anajitetea kuwa hakuwa nao.Mbaya zaidi kwa sasa ananijibu kwa kauli mbovu sana na hata muda wa kuongea nami hana zaidi ya kunikatia simu napata shida kuacha kumtafuta na kusahau yote niliyoshirikiana nae naomba ushauri wenu nifanyeje au niendelee kupigania haja ya moyo wangu?

Pole mwaya, inawezekana hyo mimba haikua yako
 
Mwisho wa jambo fulani ni mwanzo wa jambo lingine zuri zaidi. Naamini kabla ya huyo ulikuwa naye mwingine, siku zote mambo huenda yakibadilika, (vibaya/vizuri). Huenda MUNGU anakuepusha na hayo atakayokusababishia huyo dada.
 
wewe acheni kumuingiza Mungu kwenye mambo yenu, upuuzi wake wakugegedana kabla ya ndoa ndio umemletea haya yote.
 
pOLE sana arife.
Inaonekana hiyo mimba haikuwa yako kwahiyo ilibidi aitoe kwa matakwa wa mwenye nayo.
Ama la inaweza kuwa yako lakini hana mpango na wewe kwahiyo hakuona sababu ya kukuzalia mtoto.

Piga moyo konde ndugu yangu sahau yaliyopiyta na kuanza upya.
 
Akunyimaye kunde kakupunguzia ushuzi, najua inauma sana kutendwa lakini hakika usijute sana kwa nini hilo limetokea kwako, kuwa mtulivu utapata mwingine ambaye ni chaguo sahihi, huyo hata uaminifu wake kwako una mashaka, hivyo ni bora ameondoka mapema, mshukuru Mungu kwa kukuepusha na mzigo huo kama ungefunga naye ndoa.

Laiti vitendo kama alivyofanya ingelikuwa ni ndani ya ndoa, nadhani maumivu yake yangelikuwa makubwa na makali zaidi hata ungelishindwa hata kuyaweka hadharani kama ulivyofanya leo kwa sababu hata ya aibu katika familia nk.

Pole sana, lakini hongera kwa kuepukana na huo mzigo mzito wa matatizo hasa kwa baadaye, hilo limetokea kwa neema tu.
 
Karibu mjini mku...
asiyekupenda wachana naye..
Hedex ni kwa ajili ya nyakati muhimu zaiiidi!
 
Pole sana, sijui kwa nini mara nyingi watu wanaopenda kwa dhati huwa hawapati wa kuwapenda, kuna wakati huwa najiuliza haya mapenzi ni adhabu au ni nini, maana mateso ni mengi mno kuliko furaha mara nyingi, mbaya zaidi pale unapompenda mtu na yeye wala hana taim wala hajui unaumia kiasi gani kwa kutokukujali hisia zako. Songa mbele muomba mungu uache kumpenda, hata utajiuliza ulikuwa unahangaika nini yani!
 
Dah! Mahusiano mengine yakupasa uwe unashinda na panadol deile manake ni headache kwa kwenda mbele.
Btw, anza upya mkuu, hapo huna chako. Wajanja wanakumegea taratiibu..wewe mshika mapembe tu hapo!
 
nakuonea huruma...kumwacha mtu ulie mpenda kwa dhati, sio jambo rahisi....lakini inakubid ufanye hivyo....
 
duh!! umetendwa na bidada....pole sana mwana. ila na nyie wanaume bwana mnakuwa mabwege sana mpaka mnatendwa na mwanamke. loh!!! wagegedeni alafu sepa kaka

hayajakufika ndugu na wewe iko siku watakuita ----- !!! halafu huko kugegeda kuna mwisho, cku ukitaka kuoa utagegeda na kusepa hadi lini?
 
Ndugu wana jamii nahitaji msaada wenu,nina mchumba ambaye nimedumu nae kwa muda wa miaka 2,nampenda sana na ni mrembo sana.Hivi karibuni nimegundua ametoa ujauzito ambao alinipa taarifa kuwa anao lakini anajitetea kuwa hakuwa nao.Mbaya zaidi kwa sasa ananijibu kwa kauli mbovu sana na hata muda wa kuongea nami hana zaidi ya kunikatia simu napata shida kuacha kumtafuta na kusahau yote niliyoshirikiana nae naomba ushauri wenu nifanyeje au niendelee kupigania haja ya moyo wangu?

We nawe umezidi, dume zima unalilia mwanamke, kwani huwaoni walivyojaa huko nje...kama katoa mimba yako si ina maana hana nia ya dhati na wewe....unataka aje na matarumbeta ndo ujue hakutaki??
 
Ndugu wana jamii nahitaji msaada wenu,nina mchumba ambaye nimedumu nae kwa muda wa miaka 2,nampenda sana na ni mrembo sana.Hivi karibuni nimegundua ametoa ujauzito ambao alinipa taarifa kuwa anao lakini anajitetea kuwa hakuwa nao.Mbaya zaidi kwa sasa ananijibu kwa kauli mbovu sana na hata muda wa kuongea nami hana zaidi ya kunikatia simu napata shida kuacha kumtafuta na kusahau yote niliyoshirikiana nae naomba ushauri wenu nifanyeje au niendelee kupigania haja ya moyo wangu?

ukiona hivyo jua mimba haikua yako, chunguza kwa makini utagundua mengi
 
Back
Top Bottom