ni mchoro wa Tattoo uliopo upande wa moyoSamahani 'kaka mkubwa'....ni....nini....hiki?
'Ahaaa'ni mchoro wa Tattoo uliopo upande wa moyo
daah mkuu umenkumbusha mbali aisee....but ndo hvyo unajfunza baada ya kupata matatizo
Asante kwa ufafanuzi,ni kweli si kila anayekuchekea anakupendaReflection ya kwamba mtu anaweza kucheka nawewe kumbe anakuwazia mabaya mengi pengine hata kukuangamiza
Kuna bwana mmoja miaka mingi huko nyuma, alikuwa m'south basi alijichora tatoo ya kishetani kwenye mkono wake wa kulia. kwa bahati mbaya alipata ajali na gari iliungua yote ilikuwa semi ya mafuta, lkn cha ajabu yule bwana pamoja nakuungua mwili mzima lakin sehemu ya ile Tatoo pekee haikuungua.
Dah.. chief hiyo material waliyotumia kuweka hiyo tatoo inaweza kuwa haiungui (fire proof) .. si ajabu hata wenyewe hawajui.. Fursa hiyo kiongoziKuna bwana mmoja miaka mingi huko nyuma, alikuwa m'south basi alijichora tatoo ya kishetani kwenye mkono wake wa kulia. kwa bahati mbaya alipata ajali na gari iliungua yote ilikuwa semi ya mafuta, lkn cha ajabu yule bwana pamoja nakuungua mwili mzima lakin sehemu ya ile Tatoo pekee haikuungua.