Namna zipo ila inategemea na uhitaji wako na kuhakikisha kweli endapo ni damu yako kabisa!
Kwangu mimi nisivyopenda kupoteza damu yangu, ningeweza kuleta fujo na kusambaratisha hiyo ndoa kabisa, mtoto wangu hawezi kuwa comfort kwa mwanaume mwingine, ili nipate damu yangu, katika maisha haya nathamini sana mtoto, nidhulumu chochote nitakuachia, ila si mtoto wangu.
Niliwahi kuchukua mtoto wa siku 10 tu kutoka kwa mama yake, ili nisipoteze damu yangu, nilimleaje? Hiyo ni story nyingine.
I would do anything!!!