Moyo unaniuma sijui nifanyeje?

Moyo unaniuma sijui nifanyeje?

TE="to yeye, post: 17573638, member: 367662"]simama katika kweli ya Mungu utapata majibu.[/QUOTE]
Sawa
 
TE="Gojaga Nize, post: 17573662, member: 298402"]Unaijua GPA ya 3.5? Ukishaijua amua uendelee kuumwa moyo au ukomae na GPA ya huko college kwako..[/QUOTE]
Saw a nitakazana
 
Hahahahahaa UKWATA, CASFETA, MAPENDO DAIMA ya shule huku mtaani ni magumu. Kuna maisha halisi huku, mshike Mungu kisawasawa Sio kishule shule. Utakuja kuona kuwa hakuna investment ya hovyo Kama ya kwenye ngono!!! Hailipi kabisa aiseee, Wazuri wapo wengi sana, kwa umri wako kuwa na Mpango Mkakati na binti Wa mwenzio ni uchochezi!
Nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom