Piga moyo konde, ila usirudiane nae, ht akilia machozi ya damu..mwanamke anayekupenda hatokuacha ht akutane na yeyote. Huyo mwache aendelee na maisha yake, usiwe tyr kula makombo cku akipata Mwngne tena atakuacha so let her go... Never give someone second chance to hurt you again