Nashangaaaa!kama sio uchokozi ni nini sasaKwahiyo mm ni robot eeenh mpaka uniulize hili swali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo nimejizuia jaman,hadi roho imeniumaLeo nakuunga mkono.. Muongezee, hayo hayamtoshi!!!
Kwahiyo mm ni robot eeenh mpaka uniulize hili swali
Huo uoga wako tu japo kulia c issue waweza lia kilio cha utam ati!
[emoji21][emoji21]sasa kukulana huko shangazi taratibu bc mpk wanao tunakukumbuka namna hii.?
Sent using Jamii Forums mobile app