Moyo sukuma damu

>>>>Furaha ya moyo ni furaha ya mwili....... Sikitiko la moyo ni sikitiko la mwili...........


>>>>Moyo wangu ufanye Usukume damu na kufanya kazi nyingine zote ili kuufurahisha mwili...
 
[emoji441] [emoji445] [emoji441] [emoji445] [emoji441]
 
Huu wimbo ni hatari. Sidhani kama utunzi wa namna hii umeshawahi kutokea kwenye Bongo Flava
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…