Moyo shida

Guys Niko sehem napiga vitu(beer),gafla nimeskia kama mifupa inakakamaaa upande wa juu wa moyo... nipeni ushauri nini inaweza kuwa,ilikuwa inauma kidogo nimeshika imakaa sawa.
Kuna tatizo lolote??
Sina historia ya kuumwa kitu chochote kabisa
Moyo una mifupa?
 
Wewe nenda hospital kuna madokta uchwara humu kuna mwenzako juzi alitoka vipele vya matako tu wakamwambia aanze ARV
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…