Ukimpata uje utupe mrejesho
Jamani asanteni sana. Natanga kuwa nimempata niliomtaka...hili zoez limeishia hapa..asante kwa wote mliokuja PM but nimemchagua mmoja tu. Asanteni
Mamaweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, mario@work, watoto mmeamua kujilipua loh!!! hamjifunzi kupita kjaka zetu EZDEN, GADNER E.MBASHA.
Heeee'
hahahaaa nimecheka sana Mkuu Mara hii umeshamridhia? daah kila la kheri
Huyo muuzaji sasa ameshapata wateja wa kudumu. Ndiyo maana alitarget kipato! Angalia umri wake na umri wa anaowatafuta.
Au hujui ktk ile biashara yetu umri huo ndo wateja wazuri wasiosumbua ktk malipo .
Habarini wapenzi.... Ni takribani miezi miwili sasa baada ya kumfumania aliekuwa mpenzi wangu na mwanamke mwingine wakiivunja amri ya sita bila woga...na kujikuta kuyachukia mapenzi kwa kiasi fulani...
Najua jf ni sehemu inayojumuisha watu wengi..na siwezi kumkosa naemuhitaji humu nikamridhia.
Sifa.
-awe mtu mzima (35 na kuendelea)
-awe mkwel na muwazi
-awe muelewa
-awe muaminifu
-awe na Kazi au biashara inayomuingizia kipato cha kututosha
-dini haijalishi sana na pia kama ana watoto sio tatizo. Mengine njoo PM.
-awe anaishi Dar..
-awe na maisha ya kuridhisha japo nyumba na gari zuri.
Mmmm, tulia utampata mwingine utakaye endana naye na si kutafta mwanaume ufanyavyo na inaonekana unataka pesa na maisha mazuri bila kuyahangaikia kwa vigezo ulivyoweka pole sana kwa hilo vya bwerere ilikuwa miaka ya70
hehhehehhehe nadhan lugha sahihi ilipasw akua "SPOMSOR" ANAHTAJIKAHabarini wapenzi.... Ni takribani miezi miwili sasa baada ya kumfumania aliekuwa mpenzi wangu na mwanamke mwingine wakiivunja amri ya sita bila woga...na kujikuta kuyachukia mapenzi kwa kiasi fulani...
Najua jf ni sehemu inayojumuisha watu wengi..na siwezi kumkosa naemuhitaji humu nikamridhia.
Sifa.
-awe mtu mzima (35 na kuendelea)
-awe mkwel na muwazi
-awe muelewa
-awe muaminifu
-awe na Kazi au biashara inayomuingizia kipato cha kututosha
-dini haijalishi sana na pia kama ana watoto sio tatizo. Mengine njoo PM.
-awe anaishi Dar..
-awe na maisha ya kuridhisha japo nyumba na gari zuri.
Sifa Zangu.
Umri 20'
Mrefu wa wastani
Rangi ya chocolate
Mrembo ninaejielewa na kujiheahimi pia.
Ningependa kukupa upendo na care ya kimahaba ukaridhika.
Ukwel ngao yangu. Promise ntakubeba utakavyo.
Nipo dar. Njoo PM kwa alie serious tu.