mutyama Member Apr 30, 2017 54 38 Jul 17, 2017 #1 Jamani mabinti wa jamvini aliyetayari ajitokeze. Mume nimejitokeza. Nina miaka 32 sibagui dini wala kabila umri mwisho miaka 45 sitaki chini ya miaka 30 Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
Jamani mabinti wa jamvini aliyetayari ajitokeze. Mume nimejitokeza. Nina miaka 32 sibagui dini wala kabila umri mwisho miaka 45 sitaki chini ya miaka 30 Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
Royal Warrior JF-Expert Member Nov 19, 2015 1,166 2,117 Jul 17, 2017 #3 hivi zile thread za wanawake wanaotafuta waume hujaziona mkuu? yaani naona munapishana bila kuonana.
usser JF-Expert Member Sep 25, 2015 13,901 13,870 Jul 17, 2017 #5 Maisha yanaenda kas sana 45kwa 32 tena ke ndo awe 45 Utakua umekunywa co bure [Color= yellow]Triple A[/color]
Maisha yanaenda kas sana 45kwa 32 tena ke ndo awe 45 Utakua umekunywa co bure [Color= yellow]Triple A[/color]
mutyama Member Apr 30, 2017 54 38 Jul 19, 2017 Thread starter #6 usser said: Maisha yanaenda kas sana 45kwa 32 tena ke ndo awe 45 Utakua umekunywa co bure [Color= yellow]Triple A[/color] Click to expand... Mawazo huru na uhuru wa maoni ninaamini umru ni hesabu usiogope ila wapaswa kujiuliza kwann ili upate jibu. Zipo sabb Sent using Jamii Forums mobile app
usser said: Maisha yanaenda kas sana 45kwa 32 tena ke ndo awe 45 Utakua umekunywa co bure [Color= yellow]Triple A[/color] Click to expand... Mawazo huru na uhuru wa maoni ninaamini umru ni hesabu usiogope ila wapaswa kujiuliza kwann ili upate jibu. Zipo sabb Sent using Jamii Forums mobile app
mutyama Member Apr 30, 2017 54 38 Jul 19, 2017 Thread starter #7 WhySoSerious said: hivi zile thread za wanawake wanaotafuta waume hujaziona mkuu? yaani naona munapishana bila kuonana. Click to expand... Sifa na vigezo vko tofauti. Sent using Jamii Forums mobile app
WhySoSerious said: hivi zile thread za wanawake wanaotafuta waume hujaziona mkuu? yaani naona munapishana bila kuonana. Click to expand... Sifa na vigezo vko tofauti. Sent using Jamii Forums mobile app