Sawa karibu mjini ila usirime rami muraKumbe ya zamani eeeh? Nimekuja juzi kutoka Sitimbi.
Nyimbo moja tu mtu akae mwaka mzima bila kazi! Bongo fleva inalipa sana eeh?Nyimbo nzuri sana.
Kupitia nyimbo hii Ben Pol amepata na anaendelea kupata mafanikio makubwa kiasi amesema hata akikaa mwaka mzima bila kutoa nyimbo.moyo mashine itaendelea kumlipa
Hata mimi nilistaajabu lakini ndicho alichokizungumza wiki zilizopita kwenye enewz ya eatv. Alisema yupo biz na mambo mengine kwani moyo mashine imemfungulia bingo nyingiNyimbo moja tu mtu akae mwaka mzima bila kazi! Bongo fleva inalipa sana eeh?
Ukifanya kitu kizuri kinakubalika tu...so far moyo mashine imekuwa anthem.Hata mimi nilistaajabu lakini ndicho alichokizungumza wiki zilizopita kwenye enewz ya eatv. Alisema yupo biz na mambo mengine kwani moyo mashine imemfungulia bingo nyingi
Katika wasanii wetu unamkubali nani...huyu dogo nyimbo hii ndio nimeikubali..nilipoisikia nikajiuliza 'who is this?'
Sio siri huwa ananikosha sana, kwenye Kilimanjaro Music awards ya mwaka jana (kama sikosei) alinifurahisha sana, alipiga live, sauti kama imechujwa.Anaimba effortlessly...hamna kubana pua.