Wakuu hamna atakayerudisha recodi ya Manchester united believe me!labda Alex Ferguson aurudi.
Ila kwa yeyote atakayeletwa Man U wasahau tu mafanikio waliyofikia.
Man U wamechoka hawana lolote,Mbali na ferguson mwingine haiwezi maana Furgson alikuwa akishinda kiujanja ujanja,zam hii hamna mteremko