FananiMedia Member Joined Jul 29, 2021 Posts 28 Reaction score 87 Mar 26, 2022 #1 Mama alipotea ghafla tu tena katika mazingira ya kutatanisha. Licha ya kutafutwa sana hawakufanikiwa kumpata, Lakini baada ya muda akarudi. Lakini karudi akiwa sio tena kama alivyokuwa mwanzo, kuna nini alichofanywa huko? Na kweli aliyerudi ni Mama au fake? Ni Horror movie mwaka [2022] #fananimovies
Mama alipotea ghafla tu tena katika mazingira ya kutatanisha. Licha ya kutafutwa sana hawakufanikiwa kumpata, Lakini baada ya muda akarudi. Lakini karudi akiwa sio tena kama alivyokuwa mwanzo, kuna nini alichofanywa huko? Na kweli aliyerudi ni Mama au fake? Ni Horror movie mwaka [2022] #fananimovies
That Gentleman JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,228 Reaction score 3,715 Mar 26, 2022 #2 Napenda sana movie za kutisha...