wakuu huwa napenda sana movie inazozungumzia true stories kwasababu huwa zinanifunza na kunihabarish amatukio mengi sana humu ulimwenguni baadhi ya movies ni 1.ZERO DARK30 2.HOTEL RWANDA 3.SOMETIMES IN APRIL 4.ACT OF VALOR 5.lone survivor 6.RESCUE DAWN 7.Stoning OF SORAYA M. 8.persuit of happines TAFADHALI ONGEZA LIST,HIZO NI BAADHI TU YA NINAZOZIFAHAMU,KAMA UNAFAHAMU NAOMBA UONGEZE LIST ILI NIPATE KUZITAFUTA NIANGALIE HESHIMA KWENU BAK theboss, na wengine kujeni huku
carandiru ni ya jela Brazil inasikitisha sana na Shindler ya 93 Kama nimepatia wayahudi wanaokolewa na Bangkok Hilton mwanamke anajaribu kutoroka jela Bangkok ila Lone survivor nzuri sana kuna Malcolm X kuna Ray Zipo nyingi Hotel Rwanda nayo mwishoni mwanaume ila kuna kile chozi la kulenge machoni na roho kuuma hasa kile ki muziki kikipigwa wabongo wanashidwa movie basi Kama ile? Tukio mengi tu bongo ya kupigwa Wafanyakazi wafanye moja kali inasisimua sio unatizama kitu unajuwa kitaisha vipi. Carandiru ni noma.
Zero Dark 30 bomba sana yule mdada alicheza vizuri sana waliniudhi walipomnyima Oscar, mie sikumuona aliyestahili kupata zaidi yake. Hotel Rwanda niliona trailer sikuipenda kwa mauaji ya kutisha sana, pamoja na kuwa unajua ni movie tu yanini kwenda kwenye movie unaishia kufumba macho 90% of the time. Nimegundua pia movie kama ni kali halafu based on true story watu wengi hupenda kuiangalia. Nikikumbuka baadhi nitaziweka hapa.
Pazi, wasanii wetu wa hapa bongo wapo nyuma sana,matukio mengi yametokea,mabomu ya mbagala,mabomu ya gongo la mboto,ajali za meli,vita ya kagera,waandishi wa habari kuteswa,wahawazito kubanana mahospitali,wanashindwa kuwa serious na kutengeneza movie zinazogusa uhalisia wa matukio,wana kazi ya kuigiza mapenzi kutwa kucha na kingereza chao cha chekechea,wenzetu wapo mbali sana katika industry hii,ila hapa africa bado,matukio yetu yanatengenezewa movie na watu wa nje ya bara letucarandiru ni ya jela Brazil inasikitisha sana na Shindler ya 93 Kama nimepatia wayahudi wanaokolewa na Bangkok Hilton mwanamke anajaribu kutoroka jela Bangkok ila Lone survivor nzuri sana kuna Malcolm X kuna Ray Zipo nyingi Hotel Rwanda nayo mwishoni mwanaume ila kuna kile chozi la kulenge machoni na roho kuuma hasa kile ki muziki kikipigwa wabongo wanashidwa movie basi Kama ile? Tukio mengi tu bongo ya kupigwa Wafanyakazi wafanye moja kali inasisimua sio unatizama kitu unajuwa kitaisha vipi. Carandiru ni noma.
Mkuu hizi movie zilinisikitisha sana